Angela Simmons anavaa shanga za Kimasai kiunoni

Angela Simmons anavaa shanga za Kimasai kiunoni

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Angela Simmons ni binti wa Rev Run, Rapper mkongwe wa kundi la Run DMC.

Angela Simmons ndo celebrity wa marekani anayevaa shanga nyingi za kimasai kiunoni kama wanawake wa kiafrika.

Binafsi huwa sielewi zina faida gani ila nimependa kuziona kiunoni kwa binti huyu wa Kimarekani.

View attachment 2322500
Screenshot_2022-08-13-02-43-42-94_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
View attachment 2322501View attachment 2322502
 
Uzuri wa shanga ujue jinsi ya kuzitumia lol.Ila mbona huyu kavalia tumboni tena jameni..au kiuno siku hizi kimekua juu ya tumbo[emoji38][emoji38]
 
Mkuu ivi hapo ni tumboni kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona wote mmevurugwa mkuu
Wapuuzi tu kila mtu anajua shanga zinakaa kiunoni haijalishi kazipandisha wapi zinashuka kiunoni
 
Zinavaliwa sana, mbele mbele huko
 

Attachments

  • Screenshot_20220814-211321.jpg
    Screenshot_20220814-211321.jpg
    61.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220814-211119_1.jpg
    Screenshot_20220814-211119_1.jpg
    50 KB · Views: 13
Back
Top Bottom