PreGE2025 Angelah Kairuki: Hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mama mdogo wa Taifa katika ubora wake.
Btw, dogo anaendeleaje? Ameshaanza chekechea?
 
Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelah Kairuki amesema hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM kwani Chama hicho kimesimikwa kwenye Misingi demokrasia na Utawala bora kutoka kwa viongozi wake Mahiri Wenye Uwezo mkubwa kiutendaji ambao ni Dkt Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dkt Hussen Ally Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wangeogopa mabadiliko sasa kama wamefanya yote hayo

No reform No Election wasituchoshe
 
Attachments

  • 20250625_131435.jpg
    20250625_131435.jpg
    57.5 KB · Views: 18
Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelah Kairuki amesema hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM kwani Chama hicho kimesimikwa kwenye Misingi demokrasia na Utawala bora kutoka kwa viongozi wake Mahiri Wenye Uwezo mkubwa kiutendaji ambao ni Dkt Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dkt Hussen Ally Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nitarudi
 
Hajakosea,yupo sahihi. Unajua CCM imejiimarisha sana kwa kinamama na watu wazima kupitia wajumbe wa nyumba kumi ambao ni wapiga kura. Upinzani upo zaidi kwenye miji mikubwa kuliko vijijini.
 
Nikimuona huyu mama namkumbuka hayati Magufuli
 
Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelah Kairuki amesema hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM kwani Chama hicho kimesimikwa kwenye Misingi demokrasia na Utawala bora kutoka kwa viongozi wake Mahiri Wenye Uwezo mkubwa kiutendaji ambao ni Dkt Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dkt Hussen Ally Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Unategemea atasema nini mtu aliyetolewa bench baada ya kutenguliwa uwaziri.Hawa jamaa wanadhani nje ya ccm hakuna viongozi wa kulitoa taifa mahali ilipofikia.So sad
 
Sawa ..... ila wengine hatupigi kura

Ova
 
Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelah Kairuki amesema hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM kwani Chama hicho kimesimikwa kwenye Misingi demokrasia na Utawala bora kutoka kwa viongozi wake Mahiri Wenye Uwezo mkubwa kiutendaji ambao ni Dkt Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dkt Hussen Ally Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

NERNE-2025, No electroral reforms, 2025, No elections 2025
 
Back
Top Bottom