PreGE2025 Angelah Kairuki: Hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mama mdogo wa Taifa katika ubora wake.
Btw, dogo anaendeleaje? Ameshaanza chekechea?
 
Wangeogopa mabadiliko sasa kama wamefanya yote hayo

No reform No Election wasituchoshe
 

Attachments

  • 20250625_131435.jpg
    57.5 KB · Views: 18
Nitarudi
 
Hajakosea,yupo sahihi. Unajua CCM imejiimarisha sana kwa kinamama na watu wazima kupitia wajumbe wa nyumba kumi ambao ni wapiga kura. Upinzani upo zaidi kwenye miji mikubwa kuliko vijijini.
 
Nikimuona huyu mama namkumbuka hayati Magufuli
 
Unategemea atasema nini mtu aliyetolewa bench baada ya kutenguliwa uwaziri.Hawa jamaa wanadhani nje ya ccm hakuna viongozi wa kulitoa taifa mahali ilipofikia.So sad
 
Huyu Mama akimuona Mathayo anatamani akimbie.
 
Sawa ..... ila wengine hatupigi kura

Ova
 
Bi Angelah Kairuki yuko sahihi kwa 100%. Mpinzani wa CCM atatoka ndani ya CCM na sio vinginevyo. Labda tusubiri miaka mingine 160 labda mpinzani atapatikana.
Huo ni uongo kwa kuwa hakuna mizani sawa ya siasa acha iwe hivyo
 
NERNE-2025, No electroral reforms, 2025, No elections 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…