Angelica Zambrano: Binti kutokea Ecuador aliyeenda Mbinguni na Kuzimu

Nimechukua masaa kadhaa kuisoma hii stori. Huenda ni kweli ila kuna baadhi sehemu tunahitaji kufafanuliwa,,,
Naanza na la kwanza,,, NAOMBA KUFAFANULIWA “KUABUDU SANAMU” maana yake nini,,, nahitaji jibu halisi.
 
Baada ya Ufunuo wa Yohana pale mwisho naona mnataka kuongeza ufunuo mwingine [emoji1]
 
Aisee Hilo andiko ikichezwa move yake bonge la picture
 
Lakini wenzetu wakristo mbona ni wajinga hivi?
Msikitini story kama hizi huwezi ziskia.
Nimeelewa kwanini papa karuhusu ndoa za jinsia moja, hii ni baada ya kugundua upuuzi wenu.
 
Hii story inawadhalilisha wakristo wote hapa Duniani.
 
cha muhimu ni kila mtu kujiweka tayari tu, kwasababu ni kweli, mbingu ipo na kuzimu ipo, na moto upo. umeongelewa sana kwenye Biblia na kuna watu watakuja kuungua.
 
Reactions: I M
Lakini wenzetu wakristo mbona ni wajinga hivi?
Msikitini story kama hizi huwezi ziskia.
Nimeelewa kwanini papa karuhusu ndoa za jinsia moja, hii ni baada ya kugundua upuuzi wenu.
Papa yupi karuhusu? Lini? Kwa walaka upi wa kanisa?
 
Ubaya wa hizi taarifa ni ngumu sana kuweza kuzidhibitisha maana dunia ya sasa imejaa matapeli wa kiimani kila kona.
 
Mkuu wewe ndo umemaliza kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…