Angelica Zambrano: Binti kutokea Ecuador aliyeenda Mbinguni na Kuzimu

Angelica Zambrano: Binti kutokea Ecuador aliyeenda Mbinguni na Kuzimu

Nafikiri atakuwa Mlokole huyo au msabato - wamelengwa wakatoliki hapo:
1.Papa - motoni
2.Bikira Maria hana nguvu, si chochote - watu waache kuomba msaada kwake - wanaofanya hivyo ni sisi RC.
3.Watakatifu hawana lolote tuache kuwaomba - wanaofanya hivyo ni sisi RC.
Roho haina nyama, sio mwili ,sio material then inaumizwaje na moto, na funza au nakuchomwa na mikuki??
 
Back
Top Bottom