Angelina Jolie: From double masectomy survival to topping FORBES highest female earner!

Uzi wa 2013 we unapongeza leo nimecheka sana.
"Nimecheka sana" imeshaondoa kustajaabu kwa maana iyo hakuna kilichonistajaabisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuzunguka zunguka.

Umestaajabishwa ndio maana ukawaka.

Ndio maana nikakuuliza, ni kipi kilichokustaajabisha?
 
Tatizo lako Unataka kunilisha maneno, ulianza nimestaajabishwa umeona haitoshi unasema tena nimewaka,wapi nimeandika kuwa nimewaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako Unataka kunilisha maneno, ulianza nimestaajabishwa umeona haitoshi unasema tena nimewaka,wapi nimeandika kuwa nimewaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umepotea kiasi kwamba unashindwa hata kuelewa nilichokiandika.

Ngoja nikusaidie, Kuwaka ni kile kiherehere chako cha kuninukuu.

Ndicho nilichokimaanisha Mimi.

Kwahiyo wewe uliwaka kwakuwa ulistaajabishwa.

Umenielewa?
 
Sijapotea kiasi kwamba nimeshindwa hata kuelewa ulichokiandika.
Ngoja nikusaidie, kukunukuu wewe au member mwingine wa forum hii ni haki ya msingi kabisa inayotolewa kwa member wote wa jf na sio kiherehere wala kuwaka.

Sijastaajabishwa na chochote zaidi ya kucheka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijapotea kiasi kwamba nimeshindwa hata kuelewa ulichokiandika.
Ngoja nikusaidie, kukunukuu wewe au member mwingine wa forum hii ni haki ya msingi kabisa inayotolewa kwa member wote wa jf na sio kiherehere wala kuwaka.

Sijastaajabishwa na chochote zaidi ya kucheka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haijakatazwa kunukuu hata kidogo.

Umestaajabishwa na ndio maana, ukaleta kiherehere baada ya kufahamishwa unaanza kuruka kuruka na kudai ulikuwa unacheka.

Suala hapa sio kucheka, suala hapa ni kipi kilichokustaajabisha?
 
Vizuri kumbe unajua kuwa haijakatazwa kunukuu hata kidogo sasa kiherehere kinatoka wapi?

Wakati nakunukuu niliandika kuwa nimecheka na sio nimestaajabu, sasa wewe kutokana na upeo wako wa akili unaona kucheka ni sawa na kustaajabu.

Kwako issue ni kustaajabu sawa lakini sio kwangu.

Suala hapa sio kucheka, acha kubadilisha maneno.

Suala hapa ni wewe kustaajabishwa.

Kivipi?

Hayo maneno yako hapo chini:-

Uzi wa 2013 mkuu we unapongeza leo nimecheka sana.

Kwahiyo wewe kipi kilichokustaajabisha hapo?

Mimi nafahamu ya kuwa huu UZI ni wa kitambo, na mimi ndie nilieuzimua.

Kwahiyo wewe ulichoona hapo cha ajabu ambacho kimekustaajabisha ni kipi?
 
Upo sahihi kwa upande wako wewe suala sio kucheka, ila kwa upande wangu mimi suala ni kucheka.

Ningeandika, uzi wa 2013 unapongeza leo! Nimecheka sana ungekuwa sahihi kabisa kuuliza kilichonistaajabisha. Sikuandika ivyo kwasababu mkazo wangu upo kwenye kucheka. Na kwa bahati mbaya hakuna alama inayowakilisha kucheka kwenye uandishi imebidi nikuandikie kwa maneno kuwa nimecheka sana ila bado huelewi.

Suala la kufahamu au kutofahamu kuwa uzi ni wakitambo hilo sijakuuliza sioni kama kuna haja ya kulizungumzia. Ni kweli wewe ndie uliuzimua uzi hilo sijabisha nalo halina mantiki kulizungumzia.

Hakuna cha ajabu nilichokiona, na kwa kutumia akili ndogo tu haiwezekani nione kitu cha ajabu halafu nikacheka sana.

Naona unalia na malalamiko tele.

Unanifahamu vizuri sana ninachokiongea.

Cha ajabu ni nini ikiwa nimepongeza UZI wa kitambo?
 
Hakuna sehemu niliyolia wala kulalamika hizo ni hisia zako au huna maana sahihi ya maneno kulia na kulalamika.

"Unanifahamu vizuri sana ninachokiongea", iyo sentensi yenyewe haieleweki.

Hapo hakuna cha ajabu bali kuna kichekesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna sehemu niliyolia wala kulalamika hizo ni hisia zako au huna maana sahihi ya maneno kulia na kulalamika.

"Unanifahamu vizuri sana ninachokiongea", iyo sentensi yenyewe haieleweki.

Hapo hakuna cha ajabu bali kuna kichekesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi ulivyoshuka hilo bandiko la nyuma, ni kihisia zaidi.

Yaani unalia lia tu.

Hizo lugha tu, nacheza na lugha vyovyote ninavyotaka.

Unashindwa kujibu hoja unaanza kuleta mambo ya sentensi.

Kwani tuko Darasani hapa!

Rudi kwenye hoja hapa, sio unatoka nje ya kisanduku.

Narudia tena, kipi kilichokustaajabisha na kusababisha kiherehere cha kuninukuu?
 
Hilo bandiko limelenga kujibu hoja zako sasa kama umelisoma na kulipokea kwa hisia iyo sasa sio kazi yangu. Ni sawa na daktari akimchoma sindano mgonjwa ya tako anakuwa amemaliza kazi yake kama mgonjwa atabinua makalio juu au upande kutokana na maumivu iyo ni juu yake mgonjwa.

Kuhusu kulia lia nimeshakujibu ivyo sitojibu tena.

Bado ungeweza kucheza na lugha bila kupoteza maana.

Siwezi kujibu hoja iliyojengwa kwenye sentensi isiyoeleweka.

Swali la tupo darasani ni lakipuuzi sitalijibu.

Sijakimbia hoja.

Swali lako la mwisho la kiherehere nilishalijibu kwenye nukuu zangu zilizopita sitalijibu.

Acha kuruka ruka, rudi hapa.

Kipi kilichokustaajabisha?
 
Back
Top Bottom