Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kumbe ndio huyuuuu?? [emoji87] [emoji87] WHO IS SALT??
Sent from my iDevice using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndio huyuuuu?? [emoji87] [emoji87] WHO IS SALT??
brad pitt ana kibamiaAlimkataa Brand Pit now amemiss hogo tena
alipokua kadogo,kabla hajajikondesha alivutia sanaLips na Yale macho yake hatariii
Nyota wa filamu za Hollyhood, Angelina Jolie, amekuwa na wakati mgumu tangu alipoachana na mpenzi wake Brad Pitt mwaka jana. Aliambia Gazeti la Telegraph: ''Nimekuwa na wakati mgumu. Sifurahi kuwa bila mpenzi. Si jambo nililolitaka. Hakuna kitu chochote kizuri kuhusiana na hilo. Ni jambo gumu sana.''
Katika mahojiano mengine na gazeti la Australia Sydney Morning Herald , alisema ametumia muda wake mwingi mwaka jana , ''nikiwaangalia watoto wangu.''
''Siwezi kujifanya, huu ni wakati mgumu katika maisha yangu,'' aliongeza.
Lakini najaribu kukabiliana na tatizo hili kwa kuzingatia mambo yajayo na kutambua kwamba ni mambo ya kawaida kwa mwanadamu.
''Labda wakati mwengine inaonekana najilimbikizia kila kitu, lakini kwa kweli najikaza kusukuma siku zangu.
''Hatimaye nitaweza kufanya kazi nyingi tofauti kwa wakati mmoja, lakini kutokana na masuala ya kifamilia mambo yamekuwa magumu zaidi.''
Muigizaji huyo alibadili kazi yake na kuwa muelekezi wa filamu kwa kuzugumzia kuhusu filamu ya First They Killed My Father, filamu hiyo iliotugwa kulingana na hali ilivyokuwa ,itaonyeshwa rasmi kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa Netflix mwezi huu.
Filamu hiyo ilibuniwa mwaka wa 1970 huko Cambodia, na inazungumzia mwanaharakati na mwalimu Loung Ung aliyeepuka chini ya kiongozi wa Pol POT, Khmer Rouge
Katika mahojiano mengine , ripota huyo wa Hollyhood ,mwenye umri wa miaka 42, amesema ''amehitajika nyumbani,'' na ningerudi kazini nitakapo hisi kufanya kazi '' Nitakapo hisi ni wakati mwafaka''
Nyota huyo amesema ataigiza kwanza , kwa sababu hakuwa na filamu ya kuelekeza aipendayo kama '' filamu yake ya hivi karibuni. Jolie amesema jukumu lake la kwanza baada ya mapumziko ''pengine'' ni kurekodi filamu yake ya mwaka wa 2014 ya Maleficient.
First They Killed My Father itazinduliwa wikendi hii katika tamasha ya filamu la Telluride huko Colorado.
Maoni kadhaa ya filamu hiyo yameanza kutolewa , miongoni mwao yakiwa mazuri kutoka kwa ripota wa Hollyhood , Scott Feinberg.
Ikilinganishwa na mkosoaji wake Stephen Farber alikuwa na maoni yalio wastani.
Jolie ,amesema filamu hiyo ilitungwa vyema kuhusiana na mapenzi na itawaelimisha watu kuhusiana na historia kali ya Cambodia mwaka 1970.''
Duuh sina uhakikabrad pitt ana kibamia
Ndiye yeye aliyecheza movie hiyo..Kumbe ndio huyuuuu?? [emoji87] [emoji87] WHO IS SALT??
Sent from my iDevice using Tapatalk
Saana, my favourite movie. Huyu jamaa huwa anacheza muvi na watoto wakali sana.Alimkata vizuri sana humu..
ndo tetesi zilizopo huku hollywoodDuuh sina uhakika
Sisi wenye vibamia hatuna soko...eti?ndo tetesi zilizopo huku hollywood
matumizi tu ndo yana-matter,wanadai vibamia imara,full jotoSisi wenye vibamia hatuna soko...eti?
Wewe upo upande gani?matumizi tu ndo yana-matter,wanadai vibamia imara,full joto
ati unasema wamekata nyonyo??Lakin mjue hana nyonyo walishakata,sasa sisi wapenda manyonyo tumeghairi,huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah nimemkumbuka kiongozi ThanksNdiye yeye aliyecheza movie hiyo..
View attachment 582401
utampata miss wetu..mwenyewe hutoamini.'Sina furaha kwa kukosa mpenzi, nahisi upweke
wa brad pittWewe upo upande gani?
Banderas ana zari na watoto wakaree..Saana, my favourite movie. Huyu jamaa huwa anacheza muvi na watoto wakali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wewe team mimiwa brad pitt
furahia ulichonacho mkuu,usijipe stress kwa raha za mwingine,mradi kinakupa raha..tamba nachoBasi wewe team mimi