Angelina Jolie: Uvutaji wa bangi na mchepuko wasababisha ndoa na Brad Pitt kuvunjika

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Moja ya couple maarufu na iliyokuwa inapendwa duniani yavunjika rasmi
Machungu ya talaka Angelina jolie na Brad pitt. Baada ya angelina jolie kusign karatasi za talaka siku ya jana.. Brad pitt afura na kusema Angelina
Jolie ni mwendawazimu.

Hii itakuwa ni talaka ya pili ya Brad pitt. Ya kwanza ni ile ya kuachana na kimwana Jennifer Aniston. kwa jolie hii itakuwa talaka ya tatu. Ya kwanza
ni ya kuachana na Johnny Lee Miller na Billy Bob Thornton

Hii talaka inakuja baada ya Jolie na Brad Pitty kuishi pamoja kw miaka 12 na miaka 2 ya ndoa Angelina jolie asema Brad Pitt ni mlevi sana na
ana matatizo ya hasira. Jolie hakuwahi kufurahishwa na malezi ya Brad
kwa watoto. Angelina jolie ameiomba mahakama apewe watoto wote sita aishi nao

- taarifa za ndani zinasema jolie (41) amemtaliki brad pitt baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine marion cottilard. Jolie asema Brad Pitt alikuwa anakula sana bange.. ni risk yeye kuongoza familia.
 
Evelyn salt. Njoo uone wajina wako. Lakini I liked this couple. Ila wazungu wao wanaruhusu talaka kwnini kwetu mpaka kifo, all the best Jolie
Mbona brad umemtenga?
 
Evelyn salt. Njoo uone wajina wako. Lakini I liked this couple. Ila wazungu wao wanaruhusu talaka kwnini kwetu mpaka kifo, all the best Jolie

Ni Biblia ndo inakataza sio watu, ila ukiamua unaweza mbona wakristo nao sikuhiz wanapeana taraka ingawaje kanisani haitatambulika
 
No chakunishangaza hii dini yetu ililetwa na wakolony. Lakini wao ndo kwanza wanapeana talaka kama mechi ya mpira. Sasa sisi ndo tunakaza.
 
Evelyn salt. Njoo uone wajina wako. Lakini I liked this couple. Ila wazungu wao wanaruhusu talaka kwnini kwetu mpaka kifo, all the best Jolie
Waislamu unaruhusiwa kutoa talaka 3 japo talaka ni haki lakini Mungu anaichukia sana talaka
 
Angeline alishasemaga anataka kumtaliki kwa kua havutii tena sasa sijui nn kilotokea akaghairi...

Leo kaja tena na excuse kama hizo

Aseme tu kashamchoka

Maana wenzetu watu weupe hawafii watoto kama wabongo!
 
Miaka 12 ya uchumba ndo walichunguzana, ndoa miaka 2 ina umuhimu gani sasa si bora wangeendelea na uchumba wao tu. Funzo hapa hata umchunguze mpenzi miaka 10 kabla ya kuoana anaweza kuigiza tu, wala uchumba wa muda mrefu haumaanishi ndoa itadumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…