Angelina Jolie: Uvutaji wa bangi na mchepuko wasababisha ndoa na Brad Pitt kuvunjika

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hakuna shida jaman yan mwenzio Nimetokea kukupenda toka katika uvungu wa moyo wangu

Unatumia wine[emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] ...??

ok Waiter mpatie Wife yako [emoji485] [emoji485] [emoji485]

Mi Hapa kwa sasa
 
Nyie hamjajua tu. Wanatafuta attention ili wa-release muvi mpya waliyocheza pamoja. Wajanja tulishasanuka kitaaaambo!
 
Hakuna shida jaman yan mwenzio Nimetokea kukupenda toka katika uvungu wa moyo wangu

Unatumia wine[emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] ...??

ok Waiter mpatie Wife yako [emoji485] [emoji485] [emoji485]

Mi Hapa kwa sasa
Mshana MY hun njoo uone mjamaa huku anataka kutuharibia.
We ndumba itakuhusu
 
Kama zimesimama lakini ukikutana nazakwangu kama malapa ya umoja, utafikir nimenyonyesha majambazi hutajua raha yake. Kwahiyo ataapata mwengine
hahahaaaa....jaman nimecheka sana eti utafikir nimenyonyesha majambazi dah..
 
I think there is more to a marriage than boobs, just saying.

Quite right dear. But, then, Angie's had a tragic experience. Double mastectomy is tolerable. I just suspect the removal of ovaries and fallopian tubes she underwent in March 2015 might have sealed her fate. That completely take sexuality out of a lady. She needs a very strong man by her side under those circumstances. The guy (Pitt) just failed the test.
 
That just goes to show how less of a man he is. If a man gets prostate cancer and loses his balls, is that a ticket to start acting bitchy? If what you suspect is true, she is better off without him.
 
Miaka 12 ya uchumba ndo walichunguzana, ndoa miaka 2 ina umuhimu gani sasa si bora wangeendelea na uchumba wao tu. Funzo hapa hata umchunguze mpenzi miaka 10 kabla ya kuoana anaweza kuigiza tu, wala uchumba wa muda mrefu haumaanishi ndoa itadumu
Kweli kabisa Mkuu ila ujiangalie wewe ni tabaka gani hapo unaowaongelea ni next level cyo ss makapuku,miaka 12 yao c ya makapuku wao in those 12yr unaweza kuta 1 or 2yr nobody care @other meeting in purporse tofauti na ss so tuwe waangalifu kwenye ulinganifu
 
*Sote ni binadamu
*Mapenzi hayana utajiri wala maskini
*Utamu ni ule ule
 
Back
Top Bottom