haaahaaaaaMiaka 12 ya uchumba ndo walichunguzana, ndoa miaka 2 ina umuhimu gani sasa si bora wangeendelea na uchumba wao tu. Funzo hapa hata umchunguze mpenzi miaka 10 kabla ya kuoana anaweza kuigiza tu, wala uchumba wa muda mrefu haumaanishi ndoa itadumu
