Anglikana kutozika wasiohudhuria Ibada na Jumuiya

Anglikana kutozika wasiohudhuria Ibada na Jumuiya

Hizi mishe ndiyo huwa zinanifanya nawependa sana walokole na waislamu!

Ukishakuwa mlokole ukipatwa na janga kwenye familia haijalishi aliyefariki kama alikuwa alikuwa anadhuria au la watakupa sapoti ya kutosha

Hata wenzetu waislamu wako njema sana kwenye suala la kuzikana

Dini yangu ya katoliki ni kutishiana kwenye shida tu mara hutazikwa mara watoto wako hawatabatizwa!

Ila ajabu kabisa pesa na michango ya yule hajabatizwa huwa hawakatai!
 
Kwani wakikuzika wao wanabadilisha hatma yako?

Mbona Kingunge atheist walimzika ?

Hawana adabu na utu.
 
Back
Top Bottom