Maendeleo Kwanza1
Member
- Apr 4, 2020
- 16
- 7
Makanisa yafungwe ....mtaleta makorona nyie wakiristu vichwa ngumu....Msimsikilize uyo magufuli.
Yaani mnakuwa wajinga kisa sadaka za waumini acheni tamaa.
Baada ni sadaka, bila sadaka viongozi wa makanisa wata wata wata watadhView attachment 1415286
ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mount Kilimanjaro, Dk Stanley Hotay amesema Watanzania wana kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kumpata Rais Dk John Magufuli aliyeruhusu ibada ziendelee wakati wa tishio la ugonjwa wa corona.
Aidha, amewataka waandishi wa habari nchini kutekeleza majukumu yao kwa kufuata maadili ya uandishi wa habari ikiwa ni pamoja na kuandika habari chanya za madhehebu ya dini nchini. Askofu Hotay alisema hayo jana jijini hapa wakati akiongoza ibada ya mazishi ya Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Eliya Mbonea (45).
Alisema homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (Covid- 19) ni ugonjwa hatari usio na chanjo wala tiba, lakini anaamini utapita lakini wananchi wanatakiwa kumtumaini Mungu kwa kuwa ni hatari. Kuhusu Mbonea, Askofu Hotay alisema alikuwa mcheshi msikivu na aliyependa kumtumikia Mungu katika maisha yake yote. “Marehemu alikuwa muumini aliyependa kutumikia kanisa na wakati mwingine alijitoa kuwa dereva wangu ikiwa ni sehemu yake ya kumtumikia Mungu,” alieleza askofu huyo.
Akisoma wasifu wa Mbonea, kaka wa marehemu, Fanuel Hume alisema alizaliwa mwaka 1975 na alisoma Shule ya Msingi Kahama na baadaye alijiunga na Shule ya Sekondari Korongwe iliyopo Kahama, kabla ya kujiunga na Chuo cha Uandishi wa Habari cha Times cha jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Zelothe Stephen alitoa pole kwa familia ya Mbonea na watu wote walioguswa na msiba huo. Marehemu alizikwa jana alasiri katika makaburi ya Njiro jijini hapa
Waendelee kushukuru na kupongeza, wakianza kufa wasilalamike.View attachment 1415286

Huyo askofu wa hajitambui, na wala haelewi mwenzie aliteleza tu katika hilo, na kama ujuavyo hatuna desturi ya kukiri kuwa hili nimekosea,na sasa iwe hivyi, ni shida maaskofu wanaofikiria sadaka tu!Baada ni sadaka, bila sadaka viongozi wa makanisa wata wata wata watadh
View attachment 1415286
ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mount Kilimanjaro, Dk Stanley Hotay amesema Watanzania wana kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kumpata Rais Dk John Magufuli aliyeruhusu ibada ziendelee wakati wa tishio la ugonjwa wa corona.
Aidha, amewataka waandishi wa habari nchini kutekeleza majukumu yao kwa kufuata maadili ya uandishi wa habari ikiwa ni pamoja na kuandika habari chanya za madhehebu ya dini nchini. Askofu Hotay alisema hayo jana jijini hapa wakati akiongoza ibada ya mazishi ya Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Eliya Mbonea (45).
Alisema homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (Covid- 19) ni ugonjwa hatari usio na chanjo wala tiba, lakini anaamini utapita lakini wananchi wanatakiwa kumtumaini Mungu kwa kuwa ni hatari. Kuhusu Mbonea, Askofu Hotay alisema alikuwa mcheshi msikivu na aliyependa kumtumikia Mungu katika maisha yake yote. “Marehemu alikuwa muumini aliyependa kutumikia kanisa na wakati mwingine alijitoa kuwa dereva wangu ikiwa ni sehemu yake ya kumtumikia Mungu,” alieleza askofu huyo.
Akisoma wasifu wa Mbonea, kaka wa marehemu, Fanuel Hume alisema alizaliwa mwaka 1975 na alisoma Shule ya Msingi Kahama na baadaye alijiunga na Shule ya Sekondari Korongwe iliyopo Kahama, kabla ya kujiunga na Chuo cha Uandishi wa Habari cha Times cha jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Zelothe Stephen alitoa pole kwa familia ya Mbonea na watu wote walioguswa na msiba huo. Marehemu alizikwa jana alasiri katika makaburi ya Njiro jijini hapa
Jina la Bwana Mungu lazima lihimidiwe no matter what.
The so called corona virus cant stop us and wont stop us
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifaJina la Bwana Mungu lazima lihimidiwe no matter what.
The so called corona virus cant stop us and wont stop us
Yes and people won't die or get infectionsJina la Bwana Mungu lazima lihimidiwe no matter what.

Kuna mchungaji wenu mmoja kwenye marumbano ya hoja ITV jana alisema maambukizi kidogo yaliyo ripotiwa ni kwa sababu tu ya sala zao. Ati vinginevyo -- tungekuwa mbele ya Uganda, Kenya na Rwanda.
Kwa sasa Chato ni moja ya mahali sehemu salama zaidi hapa nchini. Natarajia kwenda kulia Pasaka yangu huko huko kwa mshuaHawa watumishi naweza sema wawe wa kweli.
Kwani watu wakimtafuta Mungu wakiwa majumbani kuna kosa gani?
Tatizo wanaogopa uchumi unao tegemea sadaka utayumba.
France tukio lilosababisha kuenea kwa corona lilikua ni la kanisani.
Muda huu ambao bado asimimia kubwa ni wageni wenye corona basi wangechukua muda huu kuwalinda waumini wao.
Wanamshukuru Rais ambaye yeye amejificha chato na hatoki wala kukutana na mtu kwa sababu ya usalama wake.
Ushauri.
Ibada zifungwe kama zilivo fungwa shule
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa Chato ni moja ya mahali sehemu salama zaidi hapa nchini. Natarajia kwenda kulia Pasaka yangu huko huko kwa mshua