Angola 0 -3 Tanzania | CAF U-17 AFCON | Morocco | 17/05/2026, 16:00 EAT

Angola 0 -3 Tanzania | CAF U-17 AFCON | Morocco | 17/05/2026, 16:00 EAT

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Mashindano ya Africa Cup of Nations (AFCON) kwa vijana wa umri chindi ya miaka 17, mwaka 2026 yameanza kutimua vumbi nchini Morocco kuanzia tarehe 13 May, 2026.

Sisi Tanzania, vijana wetu wa Serengeti Boys wako kundi C, pamoja na Mali, Angola na Mozambique.

Tushacheza mzunguko wa kwanza kwenye group stage, tukampiga Mozambique chuma 3-0.
IMG_8638.webp

Kwa Leo tunakipiga na Angola, katika uwanja wa Mohammed VI Football Academy kuanzia saa 10 jioni, kwa masaa ya Africa Mashariki.
IMG_8637.jpeg

Kila lakheri vijana. Taifa linawaangalia.

PS: Kwa simple live updates tutakua hapa, kama unataka details check YouTube channel ya CAF wanaonesha mechi zote.
 
Okay, maandalizi ndio dakika za mwisho, vijana wako changing room.
 
Jerseys zina logo ya “Sandaland” Hongera yake.
 
Sema ikijaga ishu ya majina bado tuko nyuma sana. Mtu ana jersey imeandikwa “Mzungu” imagine.
 
Team zote ndio zinaingia uwanjani.
 
Kama kawaida uzi wetu full blue, golikipa kala full white.
 
Wimbo wa Taifa wa Angola una rhythm kali.
 
Dakika 5 za mwanzo tunaenda vizuri.
 
Madogo wa Angola wana press
 
Back
Top Bottom