Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

3269574650.jpg


Stephane Sessegnon anavuta bukta ya mchezaji wa musumbiji
 
1276189008.jpg


Ahmed Hassan (R) na Mahmoud Fathallah (L) of Egypt wakimkaba mchezaji wa Super Eagles
 
Hata siku moja usishabikie Nigeria. Wale ni sawa na Mafia (kama Chelsick teh teh teh) wakipata mpunga kwenye betting mambo kwishnei. Si unakumbuka hata ile World cup waliyocheza mara ya mwisho walikuwa na timu nzuri tu lakini hakuna walichofanya.

Timu za Africa kwenye world cup zenye heshima ni mbili tu Cameron na Algeria hao iko heka heka. Hata Pharaohs ni kazi bure tu onea buji.

Jaribu kuwa mwana soka wa kisasa bana, una boa sana mtu wangu.
 
MIMI bado nalia na huyu kocha wa 9ja, sioni sababu ya kumtoa obi na kumweka kanu...yani ni substitution feki kuliko mfano, hata kama martins hana acuracy ya kufunga magoli lakini papara zake zingefanya mabeki wa misri wakoncetrate nae af upenyo ungepatikana, ukiangalia 9ja walikua wakiishia pale nje ya 18 hata goli lao ni la mbali....alafu odemwinge ni mkali hakutakiwa kukaa nje bana...na toka kanu kuingia alifanya nini?? yakubu ndo hamna kitu kabisa ile mechi obaso na obi ndo walifanya mambo yanayoonekana....upuuzi mtupu tunazidi kuwapa ujiko tu hawa mafarao mwishowe hili kombe litakua kama lao vile....
 
Today matches....

Cameroon VS Gabon

Zambia VS Tunisia...
 
I think mara ya kwanza inatokea hi mtu na mjomba wake kucheza kwenye national team pamoja.......Song's Cameroon....
 
I think mara ya kwanza inatokea hi mtu na mjomba wake kucheza kwenye national team pamoja.......Song's Cameroon....

And it think hili ndo tatizo la Cameron. Wanashindwa kutafuta vijana wapya.
Mtu anapewa mkoba hapati wa kumrithisha mpaka mtu huyu anakutwa na wapwa wake both playing 4 th same team.
Sad 4 th team I fancy!
 
Half time!
Cameroon's Etoo was no where to b cn in ths 1st half.
Lets wait 4 th 2nd half...
 
Back
Top Bottom