MIMI bado nalia na huyu kocha wa 9ja, sioni sababu ya kumtoa obi na kumweka kanu...yani ni substitution feki kuliko mfano, hata kama martins hana acuracy ya kufunga magoli lakini papara zake zingefanya mabeki wa misri wakoncetrate nae af upenyo ungepatikana, ukiangalia 9ja walikua wakiishia pale nje ya 18 hata goli lao ni la mbali....alafu odemwinge ni mkali hakutakiwa kukaa nje bana...na toka kanu kuingia alifanya nini?? yakubu ndo hamna kitu kabisa ile mechi obaso na obi ndo walifanya mambo yanayoonekana....upuuzi mtupu tunazidi kuwapa ujiko tu hawa mafarao mwishowe hili kombe litakua kama lao vile....