Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Huyu kipa wa Gabon anawabania sana Cameroon,anasave sana
 


Alex Song ana kwa ana na Fabrice do Marcolin
 
Kama Cameroon waking'ang'ana kupitisha mipira katikati hawatapata goli
 
Wameamuwa kumkanyaga sasa hawa Cameroon mana wameona hawapi chance
 
Game over,Cameroon 0 Gabon 1,kazi tunayo World Cup ya mwaka huu maana hao wawakilishi wetu mhhhhhhhhhh,labda Ghana
 
Mwakilishi wa tatu huyo wa Africa world cup anafanya vibaya.

Lakini hawa Cameroon wameshazowea kufungwa kwenye mechi ya kwanza mwisho unawakuta wao wako final
 


Daniel Cousin mnamo dakika ya 17 ndiye aliyewapiga mkwara Cameroon.
 
Nilifikiri wimbo wa Taifa wa Tanzania 'Mungu Ibariki Tanzania". Kumbe ni wa Zambia??
Too sad.

Ila jana hii kitu ilinifanya nilie kama wimbo wa Lucky Dube (RIP) anaoimba "Joy can bring tears, but tears can't bring joy".

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=cAKyI_cbF18[/ame]
 
Game over,Cameroon 0 Gabon 1,kazi tunayo World Cup ya mwaka huu maana hao wawakilishi wetu mhhhhhhhhhh,labda Ghana

Cameroon wameonesha wamechoka sana au labda inawezekana waliwadharau Gabon.

Kama watacheza hivi mechi ijayo ni afadhali watolewe na Alex Song arudi mapema Arsenal.

Lol.
 
Tunisia wamerejesha...

Zmbia 1 Tunisia 1
 
speed ya zambia naikubali.....wish waendelee hivihivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…