Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Kweli RichZambia ina wachezaji wazuri sana kama Musonda, Felix Katongo, Chintu, Kalaba, Sunzu, Christopher Katongo, na Mulenga.
Chamanga kaumia lakini sidhani kama ni serious. Ila aliepewa kadi ni yupi Felix au ndugu yake Christopher hapo sina uhakika.
Hawa wamewasumbua sana Tunisia leo.
Haya mashindano yameshaniboa tayari..nasubiria nusu fainali na fainali yenyewe.Mh... yani kombe hili limekua kama mazingaombwe