Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Zambia ina wachezaji wazuri sana kama Musonda, Felix Katongo, Chintu, Kalaba, Sunzu, Christopher Katongo, na Mulenga.

Chamanga kaumia lakini sidhani kama ni serious. Ila aliepewa kadi ni yupi Felix au ndugu yake Christopher hapo sina uhakika.

Hawa wamewasumbua sana Tunisia leo.
 
Kweli Rich
 
Asanteni kwa kunijulisha mechi yote.
Utadhani nilikuwa uwanjani.
endeleeni hivyo hivyo siku zote.
JF ni TV yetu.
 
Mh... yani kombe hili limekua kama mazingaombwe
 
Mechi ilikuwa ni nzuri na matokeo haya yanatoa nafasi kwa Zambia na Tunisia kusonga mbele kwenye robo fainali. Halafu pia kundi hili limeachwa wazi kwani kila timu inaweza kusonga mbele.
 
Mechi ndo zimeisha leo Tunisi vs Zambia ni moja moja wakati Cameroun imepigwa moja na Gabon.
Alafu Essien ndo ameshafika Angola baada ya kukwama kupata ndege toka UK kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa
 
_47104731_silence1.jpg

Cameroon kabla ya mpambano
 
Teh teh heh...
Maximo alivyokuja alidai atatupeleka mataifa huru yaliyofanyika Ghana mwisho wa siku hola, kisha akadai tutakuwepo Angola matokeo yake nako hola...
Leo hii anaigiza maigizo ya kibongo.
Halafu watu tukisema hafai kuna wapumbavu wanafumuka na kumtetea '''damn'''
 
Mali na Algeria wanacheza sasa hivi...bado 0-0. Checki game hapa (wadau mnaweza kutazama kandanda na michezo mingine...afrika, ulaya, asia, usa n.k kwenye link hii..usisahau kurefresh kila siku)

http://www.atdhe.net/index.html
 
Back
Top Bottom