Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Hivi hizi link ni za Kulipia au ni Bure Mazee
Red card to Eboue for his reckless challenge on ghanian player!
Nani anajua sheria za CAF vizuri, ingekuwa vipi kama timu zote tatu katika kundi hili zingelingana kwa points na magoli (assume zote 3 zitoke draw ya 0-0....usijali matokeo ya leo najua tayari Ivory Coast wanaongoza), timu gani zingeingia next round?
That's stupid foul!

Ghana's gone!
Wangeangalia card za njano na Nyekundu.Nani anajua sheria za CAF vizuri, ingekuwa vipi kama timu zote tatu katika kundi hili zingelingana kwa points na magoli (assume zote 3 zitoke draw ya 0-0....usijali matokeo ya leo najua tayari Ivory Coast wanaongoza), timu gani zingeingia next round?
Mpira dakika 90 Angola walikuwa wanaongoza 4 bila with 10 minutes to go.