Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 698
...😀...
haya bana.
Kwani hapa unashabikia timu gani?
Unfortunately Tanzania haipo, hivyo tunajipachika ushabiki kwa timu za wenzetu....TBH nawashabikia Ghana kwa leo maana katika wapopo wote naona wao kidogo wana uungwana wa kibongobongo....lol🙂...tatizo hawana mademu wakali kama wa bongo.