Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Mkuu,
Hata Nigeria waki-lose hii game mathematically there will still b some hope 4 them to advance into knock out stage kama wakishinda gemu yao ya mwisho, huku wakiwaombea Egypt wapoteze gemu zake 2, gemu ya leo na ya mwisho.
It's not easy for Egypt to do such a mistake. Mafarao wanaweza kukomaa mpaka wahakikishe hawapotezi mechi hata moja kuweka rekodi.

Man Utd wamepata goli la kwanza
 
Nigeria leads by 1 - O via a penalty goal scored by Yakubu on 41st min.
 
Here we go again. Into th 7th min, 1st half, it is a battle btn EGYPT vs MOZAMBIQUE. Goal-less at th moment!
 
Hii gemu imechangamka kinoma!
Hakuna cha underdog hapa.
Wanaume wa msumbiji wanai-push na ku-roll hiyo kitu ya duara.
Good to c this. Still mtungi kwa mtungi na dakika ni ya 28 sasa.
 
Kwa Taarifa yako:
1. Egypt hawajapoteza mechi hata moja ktk mashindano haya tangu mwaka 2006 walipochukua kombe la mataifa ya afrika.
2. NB: Manchester City hoi. Kwa mara ya kwanza kocha Mancini anapokea kichapo toka kwa Everton. Kumbe Arsnl mechi ye2 ya mwisho 2mejitahidi kutoa droo na in-form Everton.
 
Huyu Khan amejifunga tena... sijui likoje hili
 
Egypt wanahonga mechi zao sana tu si ndio kwenye makao makuu ya CAF.
 
Goal! 46th min. Egypt 1 Mozambique 0. It is own goal. Poor our neighborz!
 
Egypt wanahonga mechi zao sana tu si ndio kwenye makao makuu ya CAF.

Mmmh! Kweli?!
Mbona wanasakata kabumbu kwa levo ye2 ya kiafrika lakini, siyo world cup i must admit!
 
Mmmh! Kweli?!
Mbona wanasakata kabumbu kwa levo ye2 ya kiafrika lakini, siyo world cup i must admit!

Mkuu utakumbuka qualification za world cup walipocheza na Zimbabwe ile mechi ya cairo ilibidi ichezwe neutral ground. Subiri utakuja kubali maneno yangu.
 
Goal! By Gedo.
Egypt 2 Mozambique 0.
Duh noma!
 
Back
Top Bottom