Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Full time!
Egypt 2 Mozambique 0.
Egypt joins Ivory Coast in knockout stage
 
sasa wanahonga maafisa wa CAF au wachezaji wa mozambique?? hebu fafanua zaidi

Khe khe mkuu waamuzi huchaguliwa kuchezesha mechi flani flani. Hili lipo kwa timu kadhaa. Chunguza marefa wanaochezesha mechi za Misri kuanzia kwenye vilabu nk.
 
Khe khe mkuu waamuzi huchaguliwa kuchezesha mechi flani flani. Hili lipo kwa timu kadhaa. Chunguza marefa wanaochezesha mechi za Misri kuanzia kwenye vilabu nk.

Thanks Mkuu, ntaanza kuiangalia egypt kwa jicho la tatu
 
Mkuu,

utani kando, kwa mtazamo wangu Egypt would have been a better rep for us
in the World Cup as compared to Algeria.

Kwa standard ya mpira walocheza kwenye mechi zao mbili zilokwisha ni sawa kabisa...Bora wangeingia wao kuliko hao Algeria....
 
Huyu mzee hata sijui anachezeshwa kwanini sasa...keshajifungisha tayari..

Zambia 1 Cameroon 0
 
Mie zambia alfahim... hahaaaaaaaaaaa heheheeheee
 
Egypt would have been a better rep for us
in the World Cup as compared to Algeria...........

They had all opportunity but failed to score the only one goal needed!

Acha waambulie walichopanda.

Nakubaliana na wewe anyway na nadhani kwa hii AFCON, Egypt have something to prove na wanaweza kuwin hivi hivi!
 
Halafuuu hii game ya CAM na ZAM mbona refa na wasaidiz wake wote wanatoka Bara Asia?!
Nlifkir this is African tournament, on African soil, for African playerz and to be judged by Africans themselves!
Hebu nitoeni tongotongo hapa wadau!
 
Iko ile kualika marefer kutoka bara jengine inatokea sana namna hii hasa kwa Africa na Asia........Kwenye Asia cup mara nyingi tu wanakuwepo marefer kutoka Africa....
 
Zambia wanawapeleka speed Cameroon vibaya sana.......Kazi wanayo kweli kweli Cameroon leo.....
 
_47127697_etoo_leguen.jpg

Eto kabla ya mechi
 
Back
Top Bottom