Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

all the players must be younger than 20 years of age.
 
Huu ndio utaratibu wa mechi za mwaka jana. FIFA wanaweka tarehe ya Mwisho ili kusiwe na Malalamiko yoyote.

Kwa hiyo cha msingi ni sheria za anayeandaa mashindano.

Andre Ayew baada ya kuweka goli kwenda kwenye robo fainali.
 
Today Games..

Egypt VS Benin

Nigeria VS Mozambique
 
Egypt 1 Benin 0

Nigeria 0 Mozambique 0
 
Naomba kuuliza ni kwa nini Mali wamelalamika,je walikuwa point sawa na Algeria? Je walikuwa magoli sawa na algeria ya kufunga na kufungwa?. Kama ndio je hawa CAF wametumia vigezo gani?
 
Naomba kuuliza ni kwa nini Mali wamelalamika,je walikuwa point sawa na Algeria? Je walikuwa magoli sawa na algeria ya kufunga na kufungwa?. Kama ndio je hawa CAF wametumia vigezo gani?

Algeria played 3 win 1 loss 1 draw 1 points 4

Mali played 3 win 1 draw 1 points 4

CAF Wametizama mechi yao head to head between Mali na Algeria......

Algeria won...

Kama wange hesabu kwa magoli Mali angepita coz Mali ana +1 Algeria ana -1
 
Half time

Egypt 2 Benin 0

Nigeria 1 Mozambique 0
 
Algeria played 3 win 1 loss 1 draw 1 points 4

Mali played 3 win 1 draw 1 points 4

CAF Wametizama mechi yao head to head between Mali na Algeria......

Algeria won...

Kama wange hesabu kwa magoli Mali angepita coz Mali ana +1 Algeria ana -1

Hizi sheria ni za wapi?
 
Hizi sheria ni za wapi?

Ni za CAF mkuu,sheria zenyewe ni kama zinavyoonekana hapa chini

Tie-breaking criteria
If two or more teams end the group stage with the same number of points, their ranking is determined by the following criteria:

1.Points earned in the matches between the teams concerned;

2.Goal difference in the matches between the teams concerned;

3.Number of goals scored in the matches between the teams concerned;
goal difference in all group matches;

4.Number of goals scored in all group matches;

5.Fair play points system taking into account the number of yellow and red cards;

6.Drawing of lots by the organising committee.
 
Today Matches....

Gabon VS Zambia

Cameroon VS Tunisia
 
Tunisia 1 Cameroon 0........kwenye dakika ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…