Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

_47160590_sam766.jpg

Eto baada ya kurudisha goli
 
_47160327_zam766.jpg

Mulenga Jacob wa Zambia (Jezi kijani) na Gabon walipokutana
 
Rigobert Song (Cameroon) sijui kwa nini anapangwa? Mpaka sasa Cameroon wamefungwa magoli 5, na kati ya hayo 3 ni makosa yake. kasi hamna, miguu imechoka, .. Enzi zake naona zimepata.
 
Rigobert Song (Cameroon) sijui kwa nini anapangwa? Mpaka sasa Cameroon wamefungwa magoli 5, na kati ya hayo 3 ni makosa yake. kasi hamna, miguu imechoka, .. Enzi zake naona zimepata.

Kocha pengine anampenda kwenye style wanayocheza.
 
Zambia leeo wamecheza game nzuri sana. I hope ni timu nzuri Afrika kwa sasa
 
Rigobert Song (Cameroon) sijui kwa nini anapangwa? Mpaka sasa Cameroon wamefungwa magoli 5, na kati ya hayo 3 ni makosa yake. kasi hamna, miguu imechoka, .. Enzi zake naona zimepata.
Kinachonipendeza kwa Cameroon ni jinsi wanavyoweza kumlazimisha mpinzani wao kucheza mpira wanaotaka wao. Kama game ya Zambia na ya leo unaweza kuona pressure zilivyokuwa juu
 
Group D Placing explanation: Zambia first, Cameroon second

Following the result of the last matches in Group D, the three teams Cameroon, Zambia and Gabon have same number of points
In establishing the placing, direct confrontation between the teams are taken into consideration.
Gabon 1 Cameroon 0
Cameroon 3 Zambia 2
Zambia 2 Gabon 1

The goal difference is also the same
Zambia 4-4
Cameroon 3-3
Gabon 2-2

Zambia is first because of overall goals scored in Group D, Cameroon is second and Gabon is third.
 
CAF wabadili sheria wawe wanaangallia goal difference na si head to head.
 
Group D Placing explanation: Zambia first, Cameroon second

Zambia is first because of overall goals scored in Group D, Cameroon is second and Gabon is third.

Kwa hivo sasa robo finali itakuwa

Egypt VS Cameroon

Nigeria VS Zambia.

Hi match ya Cameroon na Egypt ni sawa kama finali tu.....raha wangekutana kwenye finali.
 
kipindi cha pili kinaanza Ghana wanaongoza kwa goli moja
Ghana 1- Angola 0
 
Angola wanapendelewa kwa sababu ndio waandaaji wa haya mashindano hata qualification yao ilikuwa na kasoro pale walipowafanyia ubaya Malawi.
 
Back
Top Bottom