Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

hahaaaaaa... this is african soccer show!!! drama, quality and drama indeed!!! mechi hii inaonyesha kiwango cha soka africa ni kikubwa

napenda akina drogba washinde wapeleke kombe bongo lakini soka ya leo ni el classico
 
Algeria do us a favor! We need Drogba in the premier......I am supporting Algeria leo

Bolini upo? Upande mwingine Inter wakiwa 10 wanaongoza 2 - 0 kwenye Derby na AC Milan

Extra time hawa waarabu kiboko hawakati tamaa.
 
Algeria do us a favor! We need Drogba in the premier......I am supporting Algeria leo

Bolini upo? Upande mwingine Inter wakiwa 10 wanaongoza 2 - 0 kwenye Derby na AC Milan
Asante kwa matokeo ya Inter hilo tu nimekupa 99%
 
Lucio apigwa red card, Inter wamebaki 9! Ronaldihno akosa penalty looo mwaka wa hasara huu kwa AC.

Bolini hujui soccer wewe hebu acha waarabu wapoteze muda maana wako tayari nusu fainali
 
_47176757_algeria_celeb2.jpg

_47176726_drogba_sprint.jpg

_47176745_coast_celebrate.jpg
 
Goli hilo replay no off side. ha ha ha haaa Ndio hivyo huyo kibendera hana aibu kama kawa nchi za kiarabu zitaendelea kutesa. Aibu
 
Thank you Algerians! you have a strong spirit ......SASA Drogba na

Kalou mrudi haraka Stamford bridge Carlo Ancelotti ana wasubiria.
 
Algeria do us a favor! We need Drogba in the premier......I am supporting Algeria leo

Bolini upo? Upande mwingine Inter wakiwa 10 wanaongoza 2 - 0 kwenye Derby na AC Milan
Yametimia kama ulivyotabiri, hivi wewe ndiye mdogo wake na Yahya Hussein eh?
 
Back
Top Bottom