Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hio mechi mkuu itakuwa balaa mbona kama ikitokea....eee mwenyezi mungu muweza wa yote hebu wakutanishe
Misri Vs Algeria
kwenye mashindano haya,
Ameen!
drogba kasema hawezi kuwahi game ya jumatano lazima aende ivory coast kwa mganga wake kwanza akachukue dawa ya kumalizia round ya pili.Wanatumiwa private jet kesho ya kuwachukua, sijui Eboue atazamia "lifti" au itakuwa vipi?
Hi mechi ya leo kali sana...
Eétoo kasema mpaka damu imwagike leo.....wana hasira sana na Egypt.
I cant bliv wot z happening here!
A goal which z not a goal!
Huyu refa mpuuzi sana.
Huyu refa mpuuzi sana.
Hapana ni refa mwenyewe ndiye alionesha kati bila kumwangalia linesmen ambaye hakunyosha kibendera, ila ndio hivyo tena.Nadhani mpuuzi ni linesman. Ndiye aliyemwambia refa mpira umekrosi goal line
Imagine the possibility of Algeria playing Egypt in the semi-final!
...eee mwenyezi mungu muweza wa yote hebu wakutanishe
Misri Vs Algeria
kwenye mashindano haya,
Ameen!
hio mechi mkuu itakuwa balaa mbona kama ikitokea.
Kwani Egypt wame Qualify kwenda world cup?
Kweli goli la tatu ni upuzi wa refer.....lakini na wao wenyewe Cameroon wamecheza ovyo leo...na beki ya Egypt ilikuwa nzuri pia......Cameroon wamepata kona 25 wamefunga goli moja tu....Egypt hamna kona hata moja mechi yote...
Kweli goli la tatu ni upuzi wa refer.....lakini na wao wenyewe Cameroon wamecheza ovyo leo...na beki ya Egypt ilikuwa nzuri pia......Cameroon wamepata kona 25 wamefunga goli moja tu....Egypt hamna kona hata moja mechi yote...