Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

...eee mwenyezi mungu muweza wa yote hebu wakutanishe
Misri Vs Algeria
kwenye mashindano haya,

Ameen!
 
Wanatumiwa private jet kesho ya kuwachukua, sijui Eboue atazamia "lifti" au itakuwa vipi?
drogba kasema hawezi kuwahi game ya jumatano lazima aende ivory coast kwa mganga wake kwanza akachukue dawa ya kumalizia round ya pili.
 
Hi mechi ya leo kali sana...

Eétoo kasema mpaka damu imwagike leo.....wana hasira sana na Egypt.
 
I cant bliv wot z happening here!
A goal which z not a goal!
 
I cant bliv wot z happening here!
A goal which z not a goal!

Huyu refa mpuuzi sana.

Msishangae sana mechi za Misri kila wakati huwa wanabebwa mie wala huwa sishituki kwa sababu ni wao tu ndio wenye hiyo bahati. Kama unakumbuka walicheza neutral ground na Algeria, Zimbabwe kutokana na upuuzi wao.
 
Cameroon walicontrol mechi vizuri sana leo ,sikutegemea kama wangecheza vile walivyocheza leo, lakini kosa moja la Geremi na upuuzi mmoja wa refa umeharibu kila kitu.
 
Nadhani mpuuzi ni linesman. Ndiye aliyemwambia refa mpira umekrosi goal line
Hapana ni refa mwenyewe ndiye alionesha kati bila kumwangalia linesmen ambaye hakunyosha kibendera, ila ndio hivyo tena.
 
Tusubiri tuone Zambia kama wataenda semis.

Misri ni pamoja na kuwanunua CAF etc. subirini world Cup watakavyotia aibu maana hawawezi kurubuni kule.
 
Tusubiri tuone Zambia kama wataenda semis.

Misri ni pamoja na kuwanunua CAF etc. subirini world Cup watakavyotia aibu maana hawawezi kurubuni kule.

Kwani Egypt wame Qualify kwenda world cup?
 
Kweli goli la tatu ni upuzi wa refer.....lakini na wao wenyewe Cameroon wamecheza ovyo leo...na beki ya Egypt ilikuwa nzuri pia......Cameroon wamepata kona 25 wamefunga goli moja tu....Egypt hamna kona hata moja mechi yote...
 
yaani cameron leo wamekuwa a total disgrace

nadhani ile timu inabidi ifumuliwe yote naona uzee unachangia

haiwezekani kona 25 hakuna bao, wamekuwa na ball possession kunwa tu hasa kipindi cha pili lakini wakifika golini kigugumizi hawawezi kuwa na idea za kumtungua kipa

not to expect from the likes of Etoo et al,

of course bad refereeing pia imechangia kwa goli la tatu, lakini Kosa lile la geremi kweli mtu alifanye kwenye mechi muhimu kama hii?

Sasa hapo semi final ni VITA kabisa nadhani ulinzi itabidi uimarishwe mara mbili!
 
Kweli goli la tatu ni upuzi wa refer.....lakini na wao wenyewe Cameroon wamecheza ovyo leo...na beki ya Egypt ilikuwa nzuri pia......Cameroon wamepata kona 25 wamefunga goli moja tu....Egypt hamna kona hata moja mechi yote...

The best team won!!!
 
Back
Top Bottom