Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Jamani naomben ruksa nilale! Nsijenkajinyonga mie.
Siku ya leo imekua ndefu sana kwangu!

ARSENAL nje,
ANGOLA nje,
IVORY COAST nje!
Dah! Wote hawa nlikua nkiwateMEGEa
...
 
Goli hilo replay no off side. ha ha ha haaa Ndio hivyo huyo kibendera hana aibu kama kawa nchi za kiarabu zitaendelea kutesa. Aibu

ni kweli haikua offside kabisa
 
Jamani naomben ruksa nilale! Nsijenkajinyonga mie.
Siku ya leo imekua ndefu sana kwangu!

ARSENAL nje,
ANGOLA nje,
IVORY COAST nje!
Dah! Wote hawa nlikua nkiwateMEGEa
...

Rest in Peace Mazee poleeeeeeeee
 
Jamani naomben ruksa nilale! Nsijenkajinyonga mie.
Siku ya leo imekua ndefu sana kwangu!

ARSENAL nje,
ANGOLA nje,
IVORY COAST nje!
Dah! Wote hawa nlikua nkiwateMEGEa
...
Na bado, Villa wanawasubiri kwa hamu.
 
ni kweli haikua offside kabisa

Yaani hata kwenye ukweli hawataki mie siendeshi vipindi vya TV wao wenyewe ndio wanaweka replay. Sasa unafikiri kama mentality iko hivyo ni nini kama sio Umafia. Wamezoea mpira wa kununua what else do they know? Kuuza unga au kuiba.
 
Thank you Algerians! you have a strong spirit ......SASA Drogba na

Kalou
mrudi haraka Stamford bridge Carlo Ancelotti ana wasubiria.
Wanatumiwa private jet kesho ya kuwachukua, sijui Eboue atazamia "lifti" au itakuwa vipi?
 
Back
Top Bottom