Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rigobert Song (Cameroon) sijui kwa nini anapangwa? Mpaka sasa Cameroon wamefungwa magoli 5, na kati ya hayo 3 ni makosa yake. kasi hamna, miguu imechoka, .. Enzi zake naona zimepata.
Kinachonipendeza kwa Cameroon ni jinsi wanavyoweza kumlazimisha mpinzani wao kucheza mpira wanaotaka wao. Kama game ya Zambia na ya leo unaweza kuona pressure zilivyokuwa juuRigobert Song (Cameroon) sijui kwa nini anapangwa? Mpaka sasa Cameroon wamefungwa magoli 5, na kati ya hayo 3 ni makosa yake. kasi hamna, miguu imechoka, .. Enzi zake naona zimepata.
Group D Placing explanation: Zambia first, Cameroon second
Zambia is first because of overall goals scored in Group D, Cameroon is second and Gabon is third.
hawa Angola wasipojipamga ndio itakuwa byebye