Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
...Ok, ndio kusema kwa 'muonekano wangu' ni;
semis;
Algeria Vs Egypt
Ghana Vs Nigeria
final;
Egypt Vs Ghana
Bingwa...
Egypt! 🙁
HApO BINGWA NI ALGERIA. NIGERIA 0-GHANA 4.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Ok, ndio kusema kwa 'muonekano wangu' ni;
semis;
Algeria Vs Egypt
Ghana Vs Nigeria
final;
Egypt Vs Ghana
Bingwa...
Egypt! 🙁
...Ok, ndio kusema kwa 'muonekano wangu' ni;
semis;
Algeria Vs Egypt
Ghana Vs Nigeria
final;
Egypt Vs Ghana
Bingwa...
Egypt! 🙁[/QUOTE
na mie nahisi hivi,ingawaje Nigeria wanaweza kuitoa Ghana na final ikawa
Egypt Vs Nigeria
Bingwa
EGYPT
HApO BINGWA NI ALGERIA. NIGERIA 0-GHANA 4.
Mbu hadi leo unamuandama Adebayo ngoja game ya marudiano...African Cup of Nations inamalizika wikiendi hii ikiwa na dosari ya 'crying babies' toka Togo!
...Togo wale wale waliotaka kususia mechi zao za World Cup 2006, nahodha wao akiwa huyu huyu 'masaiah' Adebayor.
...Hopefully match ya tarehe 28 (semis) baina ya Algeria Vs Egypt haitaacha simulizi kubwa kuliko!
Tuko pamoja mkuu.![]()
Ghanavs
Nigeria![]()
Wakuu mimi nipo upande wa Ghana... Very sorry to be biased 🙂
Nimesema mapeeeeeeeeema kuwa niko biased kwenye hii match wakuu, naomba niruhusiwe kushangilia goli letu la kwanza teh teh teh 🙂Wakuu mimi nipo upande wa Ghana... Very sorry to be biased
Mkuu siku hizi hata kuchagua timu naogopa... ntasema mwishooooooooooNimesema mapeeeeeeeeema kuwa niko biased kwenye hii match wakuu, naomba niruhusiwe kushangilia goli letu la kwanza teh teh teh 🙂
Sawa, lakini uendelee kuwepo humu hadi mwisho wa game. Isije kutokea ukalogout kimya kimya 😀Nimesema mapeeeeeeeeema kuwa niko biased kwenye hii match wakuu, naomba niruhusiwe kushangilia goli letu la kwanza teh teh teh 🙂