Bolini acha kuboa hapa!Miafrika ndivyo tulivyo huyu ref hajafata sheria 17 za mpira naona kama vile kapewa maelekezo kabla ya kuingia uwanjani,hii machi imepangwa na matokeo yamekwisha julikana tayari.
Very very harsh 4m th referee, spoiling our good game.
Ndo maaana hii mirefa ye2 ya africa hatuioni ikichezesha game ngumu za stage za mwisho za world cup.
Refa hana hata aibu. Ile yellow ya kwanza haikua yellow. Penati haikua penati, na 2nd yellow juu? Huu ni uonevu. Refa hajiamini! Refa gani
Na pia penalty ilivyopigwa ilifaa kurudiwa.Very very harsh 4m th referee, spoiling our good game.
Ndo maaana hii mirefa ye2 ya africa hatuioni ikichezesha game ngumu za stage za mwisho za world cup.
Refa hana hata aibu. Ile yellow ya kwanza haikua yellow. Penati haikua penati, na 2nd yellow juu? Huu ni uonevu. Refa hajiamini! Refa gani
Utafikiri kaambiwa na Caf lazima Egypt wapite leo.......mana haiwezekani waisiende world cup na Africa cup wasichukuwe pia......Mana kabla ya hapoAlgeria walikuwa wanacheza uzuri sana....
Mkuu na hapa upo, hulali? kwa maoni yako hiyo penalty ilivyopigwa umeionaje? na ukishanijibu kalale ukue mkuu.Bolini acha kuboa hapa!
Hata kama ungekuwa wewe kwa jinsi ref alivyofanya vile usingechukia?
...dah, kipa wa Algeria kampiga kichwa refa? ama kweli...! bahati yake kaambulia yellow card tu.
hawana adabu kumbe hawa?
sasa wewe umechukia nini bana? ...nakukumbusha Ronaldo ni mmoja wapo anayefanya hivyo na anaachiwa...
...halafu huyo Helliche ni matokeo ya 2nd yellow ndio maana akapata Red, au umesahau alishapata 1st yellow?
Msiende kulala bana, tupo wengi tu tunaoiombea dua Algeria, dkk45 kipindi cha pili kitakuja na mambo yake, msisubirie kuhadithiwa kesho asb kwenye 'power breakfast'...
Khe khe khe nani anabebwa hapa Algeria au Misri. Kazi kweli kweli naona waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba. Huu uonevu hata penalty unasubiri golikipa aanguke ndio upige? Khe khe khe khe
Mkuu tunakuhitaji kule kwenye jukwaa la Arsenal,kuna watu wanachafua hali ya hewa kule jukwaani
Mosquitoe ukiacha majani unaakili sana! teh teh teh teh asante sana kunikumbusha huu mdoli!
Ball possession hawa Algeria wanaongoza inaonekana bado wamo kwenye game
Ball possession hawa Algeria wanaongoza inaonekana bado wamo kwenye game