Game Over
Egypt 2 Algeria 0
...hapana, mambo baaado...
Angola na mali si unakumbuka? π
...Ok, ndio kusema kwa 'muonekano wangu' ni;
semis;
Algeria Vs Egypt
Ghana Vs Nigeria
final;
Egypt Vs Ghana
Bingwa...
Egypt! π
...yaani inaniuma sana kwakweli basi tu. Sijui niwaombee dua gani Ghana washinde jumapili..
Utabiri wako unaelekea kuwa kweli mkuu..Ghana nafasi yao ya kushinda ni ndogo mnoo(watoto wengi palae)...Egypt ndo Bingwa(japo sipendi kuongea hivi lakini mukweli ndo huu)
...heri yao walioamua kwenda kulala, lakini hata huo usingizi wenyewe unakuja basi?
Algeria kufungwa tatu nyingi! Eti England wanapata matumaini ya World Cup kwa mtizamo huu,... si unajua wamepangwa kundi moja na hawa Algerians...
Utabiri wako unaelekea kuwa kweli mkuu..Ghana nafasi yao ya kushinda ni ndogo mnoo(watoto wengi palae)...Egypt ndo Bingwa(japo sipendi kuongea hivi lakini mukweli ndo huu)