Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Bye bye Algeria...So sad kwa kweli..Refa ndo kasababisha yote haya
 
Nimesema mimi kuna second red na hiyo imetoka sasa....
 
...hapana, mambo baaado...
Angola na mali si unakumbuka? 🙁

Kwa Afrika Egypt akishakuacha magoli mawili usahau,imetoka hiyooo.Fainali ni Ghana Vs Egypt......aaaaaaaaaaaaaaaargh siwapendi Misri mimi
 
...sasa Algeria wameanza Vita,...wengi watakula Red Card wakicheza hivi...
 
_47204082_alg_fans.jpg

Mashabiki wa Algeria taabani khe khe
 
...Ok, ndio kusema kwa 'muonekano wangu' ni;

semis;

Algeria Vs Egypt

Ghana Vs Nigeria

final;

Egypt Vs Ghana

Bingwa...

Egypt! 🙁

...yaani inaniuma sana kwakweli basi tu. Sijui niwaombee dua gani Ghana washinde jumapili..
 
Utabiri wako unaelekea kuwa kweli mkuu..Ghana nafasi yao ya kushinda ni ndogo mnoo(watoto wengi palae)...Egypt ndo Bingwa(japo sipendi kuongea hivi lakini mukweli ndo huu)
 
Duh, Pharaohs watachukua ubingwa, ila kwa upande mwingine nimefurahi Nigeria na Ivory Coast hawakufika fainali.
 
Utabiri wako unaelekea kuwa kweli mkuu..Ghana nafasi yao ya kushinda ni ndogo mnoo(watoto wengi palae)...Egypt ndo Bingwa(japo sipendi kuongea hivi lakini mukweli ndo huu)

...heri yao walioamua kwenda kulala, lakini hata huo usingizi wenyewe unakuja basi?

Algeria kufungwa tatu nyingi! Eti England wanapata matumaini ya World Cup kwa mtizamo huu,... si unajua wamepangwa kundi moja na hawa Algerians...
 
Mkuu,Algeria ni wazuri sana na wanaweza wakawafunga England...Leo Refa kawaua Algeria wazi wazi,si anataka Egypt wampigie debe aende kuchezesha World Cup(maana HQ ya CAF ipo Cairo)😳😳
 
Utabiri wako unaelekea kuwa kweli mkuu..Ghana nafasi yao ya kushinda ni ndogo mnoo(watoto wengi palae)...Egypt ndo Bingwa(japo sipendi kuongea hivi lakini mukweli ndo huu)

Kama Arsenal..kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom