Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Utabiri wa kesho vipi?

Kesho lazima Ghana washinde.....wakitoka draw Borkina Faso anakwenda second round...

Assien keshapanda ndege kurudi London kaumia tena.....wana Chelsea lazima wafurahi........
 
1.jpg

2.jpg

3.jpg

Today Game

Borkina Faso VS Ghana...

Ghana lazima ashinde leo ndio afike second round
 
wazee mbona kuna confusion huku street? kati ya Mali na Algeria nani anastahili kupita?
 
wazee mbona kuna confusion huku street? kati ya Mali na Algeria nani anastahili kupita?

aliyestahili ndio kapita.... algeria na wameangalia mambo ya head to head records ila sijui kwa kigezo gani.. hebu tembelea website ya AFCON upate insight zaidi
 
aliyestahili ndio kapita.... algeria na wameangalia mambo ya head to head records ila sijui kwa kigezo gani.. hebu tembelea website ya AFCON upate insight zaidi

Hiyo head to head ndio imempitisha Algeria.....
 
Huyu Number 13 wa Ghana Ayew ndio mtoto wa Abidi Pele au?
 
Today Game

Borkina Faso VS Ghana...

Ghana lazima ashinde leo ndio afike second round

Tatizo la Ghana wameweka wale vijana waliochukua kombe la U-20 sasa hawa wanazidiwa nguvu na mijamaa inayotumia mabavu zaidi uwanjani ndo maana wakafungwa na Ivory Coast kirahisi. Sidhani kama watashinda hii mechi.
 
Huyu Number 13 wa Ghana Ayew ndio mtoto wa Abidi Pele au?

Yeah André Ayew ni mtoto wa Abeid Pele na ndiye Captain wa kile kikosi kilichochukua World Cup ya U20,katika kikosi cha Ghana kinachoshiriki Orange AFCON Andre yupo na kaka yake(mtoto mkubwa wa Abeid Pele) Abdul Rahim Ayew
 
Naona Ghana leo hawakubali kuyaaga haya mashindano kirahisi.
 
Hivi wakuu ktk lugha ya kimpira UNDER 20 team inakua pia na wachezaji wa miaka 20? Au ni kuanzia 19 na kushuka chini.
Msaada hapo tafadhalini!
 
Hivi wakuu ktk lugha ya kimpira UNDER 20 team inakua pia na wachezaji wa miaka 20? Au ni kuanzia 19 na kushuka chini.
Msaada hapo tafadhalini!

Inategemea sheria ya mashindano inasema nini. Ukishasema under 20 una maana kuwa mchezaji yoyote aliye na miaka 20 haruhusiwi.

i.e. on his 20th anniversary kama ni leo na mashindano yanaanza leo basi haruhusiwi. Lakini ni bora ufuate masharti ya waandaaji kwa sababu mashindano mengi siku hizi wanaweka dispensation i.e. wanaweza kusema hadi 20 yrs and 6 month nk.
 
Hivi wakuu ktk lugha ya kimpira UNDER 20 team inakua pia na wachezaji wa miaka 20? Au ni kuanzia 19 na kushuka chini.
Msaada hapo tafadhalini!

Wanatakiwa wachezaji katika ule mwaka ambao wanacheza wawe 20 au chini ya hapo..........
 
Hivi wakuu ktk lugha ya kimpira UNDER 20 team inakua pia na wachezaji wa miaka 20? Au ni kuanzia 19 na kushuka chini.
Msaada hapo tafadhalini!

Mkuu,nadhani hii inaweza kutoa mwanga wa nani wanastahili kucheza U20

"The FIFA U-20 World Cup, until 2005 known as the FIFA World Youth Championship, is the world championship of football for male players under the age of 20 and is organized by Fédération Internationale de Football Association (FIFA). The Championship has been awarded every two years since the first tournament in 1977."
 
Full time

Ghana 1 Borkina Faso 0

Ghana watawaweza Angola lakini kwenye robo finali?
 
Back
Top Bottom