Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Arsenal..kwi kwi kwi
Huyu ref anatoa red kwa kipa wa Algeria this is to much
Hehehe thread za nyuma kuna mtu alisema Egypt siku zote uwa wanapendelewa, kitu ambacho kina ukweli ndani yake.
Lakini hajamgusa katishia kupiga tu yule player wa Egypt ndio ka act
...Umeamini sasa?
...discipline mbovu hawa Algerians, ukweli ndio huo. Halafu ndio wawakilishi wetu world Cup,...aaarrghhh!
Egypt sasa wanaona hata haya kuwaongezea magoli... wakitaka hawashindwi!
Kwa nini hawa wachezaji Waarabu hawafugi ndevu ndefu kama Osama bin Laden?! Au wao hawataki suna/thawabu?!!
Khe khe mkuu waamuzi huchaguliwa kuchezesha mechi flani flani. Hili lipo kwa timu kadhaa. Chunguza marefa wanaochezesha mechi za Misri kuanzia kwenye vilabu nk.
Egypt wanahonga mechi zao sana tu si ndio kwenye makao makuu ya CAF.
Mkuu utakumbuka qualification za world cup walipocheza na Zimbabwe ile mechi ya cairo ilibidi ichezwe neutral ground. Subiri utakuja kubali maneno yangu.
Egypt wanapendelewa na Refa huyu(eti ndo Collina wa CAF huyu) kauharibu mchezo wa leo,anaonesha mahaba ya wazi ka Wamisri..We fikiria 3 red cards!!!!!OMG
Hapanahuyu kipa wa Algeria anavuta bangi..
Nieleweshe basi chief, kwanini hawafugi ndevu?!...wewe bana 😀😀😀
Mkuu..Egypt Vs Algeria ni zaidi ya Soka,suala la nidhamu huwa lawekwa pembeni hapa...Sema leo Egypt wamewawin Algeria Kisaikolojia
...si ndio!
psychological advantage ni kitu kingine kabisa,...yale yale ya Manure na Man Citeh jana,...
Ndio maana wenzetu kwenye teams wanaye mpaka psychologist kuwapa morale wachezaji...
...haya, ngoja tuangalie yatayojiri jumapili sasa... kila nilichokishabikia wiki mbili hizi kimefeli...kuanzia Australian Open, Carling Cup, Arsenal,...mpaka Algeria...
Ghana walaa sina mategemeo nao 🙁
hakuna 'psychologist' humu ainue morale yangu kidogo?
Kama unamshabikia Nadal hapo tuko pamoja....na Ghana pia....si ndio!