sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yna
kitendo cha kujiunga wcb ni kuwa na mashabiki mamilioji wa diamond, hata zuchu kashanyakua mashabiki kibao na sasa anasumbua.Sio kwamba kule walikuwa wananunua viewers?😀
Tuweni serious wakuu COVID-19 ipo tuchukue tahadhali tuache mizaha kwenye mambo serious.
Anawakondesha kuona nyota inazidi kupaa,
Pole sana team roho mbaya.
Pambana na hali yako babuu, muacheni kijana apambane na ya kwake
Ukweli ni kwamba unapokuwa wcb basi unakopeshwa mashabiki mamilioni wa diamond na ndio maana hata kina lavalava wanasumbua kimtindo, ila kitendo cha kuondoka wcb ni kujitoa katika mashabiki wengi wa diamond,
1. HIKI NI KIPINDI ANAPAMBANA YEYE KAMA YEYE NA MASHABIKI ZAKE PEKEE
2.HIKI NI KIPINDI MUDA MFUPI BAADA YA KUONDOKA WCB, MACHO YOTE YALIKUWA MAKINI KUONA KIJANA ATACHOFANYA
3.USAFINI MAMBO HAYAKUWA MABAYA, VIEWS MILIONI 10 ZILIZOELEKA
naona video nyingi akiea usafini zenye 10+miilion n za kuanzia mwaka 1+Ukweli ni kwamba unapokuwa wcb basi unakopeshwa mashabiki mamilioni wa diamond na ndio maana hata kina lavalava wanasumbua kimtindo, ila kitendo cha kuondoka wcb ni kujitoa katika mashabiki wengi wa diamond,