Anguko: Harmonize usafini, baada ya kuondoka WCB kiki ilipombeba na kipindi cha sasa

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ukweli ni kwamba unapokuwa wcb basi unakopeshwa mashabiki mamilioni wa diamond na ndio maana hata kina lavalava wanasumbua kimtindo, ila kitendo cha kuondoka wcb ni kujitoa katika mashabiki wengi wa diamond,

1. HIKI NI KIPINDI ANAPAMBANA YEYE KAMA YEYE NA MASHABIKI ZAKE PEKEE
zerRCfa.jpg

4NLKYfv.jpg

2.HIKI NI KIPINDI MUDA MFUPI BAADA YA KUONDOKA WCB, MACHO YOTE YALIKUWA MAKINI KUONA KIJANA ATACHOFANYA
NOPn1fj.jpg

3.USAFINI MAMBO YALINYIOKA, KUPATA VIEWS MILIONI 5 KWA MWEZI ILISHAZOELEKA.

BOA0h1n.jpg

FTSV8oL.jpg

fGqA47w.jpg

WJ4V8Ph.jpg

y8y8CEw.jpg
 
Sio kwamba kule walikuwa wananunua viewers?😀

Tuweni serious wakuu COVID-19 ipo tuchukue tahadhali tuache mizaha kwenye mambo serious.
 
kitendo cha kujiunga wcb ni kuwa na mashabiki mamilioji wa diamond, hata zuchu kashanyakua mashabiki kibao na sasa anasumbua.

ila kitendo cha kujitoa wcb basi utajitegemea wewe kama wewe kwenye upande wa mashabiki.

sipati picha lavalava akiondoka kama ataweza kufikisha hata views laki, itabidi aanze tu kufundisha watoto madrasa
 
MKUU TUNAPAMBANA NA CORONA NGUVU NYINGI TUMEELEKEZA HUKO, ILA KIUKWELI KIJANA KASHUKA KWA KIASI FULANI, AWE MAKINI
 
Ila mkuu sijaelewa bado lengo la uzi wako.

Unataka kusema Nini kwani?

BTW umeona Kuna nyimbo kama nishachoka Ina views chache compared to Uno iliyotoka few months ago.
 
Ukweli ni kwamba unapokuwa wcb basi unakopeshwa mashabiki mamilioni wa diamond na ndio maana hata kina lavalava wanasumbua kimtindo, ila kitendo cha kuondoka wcb ni kujitoa katika mashabiki wengi wa diamond,

1. HIKI NI KIPINDI ANAPAMBANA YEYE KAMA YEYE NA MASHABIKI ZAKE PEKEE
zerRCfa.jpg

4NLKYfv.jpg

2.HIKI NI KIPINDI MUDA MFUPI BAADA YA KUONDOKA WCB, MACHO YOTE YALIKUWA MAKINI KUONA KIJANA ATACHOFANYA
NOPn1fj.jpg

3.USAFINI MAMBO HAYAKUWA MABAYA, VIEWS MILIONI 10 ZILIZOELEKA
BOA0h1n.jpg

FTSV8oL.jpg

fGqA47w.jpg

WJ4V8Ph.jpg

y8y8CEw.jpg

Unapoteza nguvu nyingi sana

Sasa kumbe anaishi bila kukopa washabiki

Unapenda madeni wewe
 
Ni kawaida, chati ya maendeleo lazima ishuke kwanza ndio inyanyuke.Ni sawa na mwajiriwa kujiajiri..akiacha kazi lazima graph ishuke kwanza ndipo ianze kusimama kutokana na mikakati aliyojiwekea
 
Ukweli ni kwamba unapokuwa wcb basi unakopeshwa mashabiki mamilioni wa diamond na ndio maana hata kina lavalava wanasumbua kimtindo, ila kitendo cha kuondoka wcb ni kujitoa katika mashabiki wengi wa diamond,

1. HIKI NI KIPINDI ANAPAMBANA YEYE KAMA YEYE NA MASHABIKI ZAKE PEKEE
zerRCfa.jpg

4NLKYfv.jpg

2.HIKI NI KIPINDI MUDA MFUPI BAADA YA KUONDOKA WCB, MACHO YOTE YALIKUWA MAKINI KUONA KIJANA ATACHOFANYA
NOPn1fj.jpg

3.USAFINI MAMBO HAYAKUWA MABAYA, VIEWS MILIONI 10 ZILIZOELEKA
BOA0h1n.jpg

FTSV8oL.jpg

fGqA47w.jpg

WJ4V8Ph.jpg

y8y8CEw.jpg
naona video nyingi akiea usafini zenye 10+miilion n za kuanzia mwaka 1+
Ko mi naona bado hajafeli ni swala la mda tu kwa hyo fact umefeli
 
Back
Top Bottom