Anguko: Harmonize usafini, baada ya kuondoka WCB kiki ilipombeba na kipindi cha sasa

Huyu ndo alikuwa second most powerful Wcb member after diamond, Sasa embu angalia mavoko Yuko wapi, fikiria akija kujitoa lava lava ataweza savaivu, rayvanny ataweza, harmo kjitahidi Sana yani
 
Bado mapema sana still bado yupo vizuri.
 
Embu fikiria huyu Zuchu bila Diamond. Diamond mkubwa Sana Ila Harmonize Ni mkali japo alipokuwa wcb alikuwa anashea fans na Diamond Sasa haipo
 
mbaya zaidi ni kwamba alipotoka WCB alijizolea mashabiki wa Kiba kwa vile jamaa alikua kimya sasa hivi karud mshabiki wote wamemtelekeza mmakonde mwenzangu,haya màmbo yanataka uwe strong mno kiakili na moyo.
 
Harmonize ametoka utawala wa wasafi nashukuru umetambua kuwa msanii akiwa pale anakuwa na mashabiki ambao si wake (mashabiki wa mond)wengi tunalijua hili...Leo hii harmonize ametoka usafini yupo kutengeneza fans wake na legacy yake, hao unaowaona sasa ndio mashabiki ukweli wa harmonize

Sabato njema
 
Ili ujua Jeshi mkali tena sana, angalia viewers za akina Jux, marioo, barnaba, ben pol,nk hao niliowataja ni wasanii wakubwa hapa bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachukua video zenye miaka mitano unapambanisha view na video ya miezi 5.

Dada acha uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…