ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Huyu ndo alikuwa second most powerful Wcb member after diamond, Sasa embu angalia mavoko Yuko wapi, fikiria akija kujitoa lava lava ataweza savaivu, rayvanny ataweza, harmo kjitahidi Sana yani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mapema sana still bado yupo vizuri.Ukweli ni kwamba unapokuwa wcb basi unakopeshwa mashabiki mamilioni wa diamond na ndio maana hata kina lavalava wanasumbua kimtindo, ila kitendo cha kuondoka wcb ni kujitoa katika mashabiki wengi wa diamond,
1. HIKI NI KIPINDI ANAPAMBANA YEYE KAMA YEYE NA MASHABIKI ZAKE PEKEE
![]()
![]()
2.HIKI NI KIPINDI MUDA MFUPI BAADA YA KUONDOKA WCB, MACHO YOTE YALIKUWA MAKINI KUONA KIJANA ATACHOFANYA
![]()
3.USAFINI MAMBO HAYAKUWA MABAYA, VIEWS MILIONI 10 ZILIZOELEKA
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Pambana na hali yako babuu, muacheni kijana apambane na ya kwake
mbaya zaidi ni kwamba alipotoka WCB alijizolea mashabiki wa Kiba kwa vile jamaa alikua kimya sasa hivi karud mshabiki wote wamemtelekeza mmakonde mwenzangu,haya màmbo yanataka uwe strong mno kiakili na moyo.Ukweli ni kwamba unapokuwa wcb basi unakopeshwa mashabiki mamilioni wa diamond na ndio maana hata kina lavalava wanasumbua kimtindo, ila kitendo cha kuondoka wcb ni kujitoa katika mashabiki wengi wa diamond,
1. HIKI NI KIPINDI ANAPAMBANA YEYE KAMA YEYE NA MASHABIKI ZAKE PEKEE
![]()
![]()
2.HIKI NI KIPINDI MUDA MFUPI BAADA YA KUONDOKA WCB, MACHO YOTE YALIKUWA MAKINI KUONA KIJANA ATACHOFANYA
![]()
3.USAFINI MAMBO YALINYIOKA, KUPATA VIEWS MILIONI 5 KWA MWEZI ILISHAZOELEKA.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwani unaona analo jipya tena?Ili anguko bado tu
Hata sijui wewe mfuasiKwani unaona analo jipya tena?
Shetani wishez kijana anaendelea vizuriMKUU TUNAPAMBANA NA CORONA NGUVU NYINGI TUMEELEKEZA HUKO, ILA KIUKWELI KIJANA KASHUKA KWA KIASI FULANI, AWE MAKINI