Anguko kuu la mwanaume ni pale anapokuwa mshamba wa wanawake

Anguko kuu la mwanaume ni pale anapokuwa mshamba wa wanawake

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
As much as mwanamke ana mapungufu milioni mia nne haipotezi ukweli kuwa hakuna alie kulazimisha bro,

Haipotezi logic kuwa asilimia kubwa ya wanaume wana ushamba wa wanawake.

Na kama navyosemaga "anguko kuu la mwanaume ni pale anapokuwa mshamba wa wanawake"

Kuna Dini zimebadilishwa baadhi ya misingi kwa sababu tu mwanzilishi alishindwa kujizuia kuhusu wanawake basi akaona iwe halali kwa kila mtu, watu mashuhuri kwenye vitabu vya mafundisho ya dini walipoteza reputation zao kwa sababu hio hio.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Kabisa. Ushamba wa wanawake ndo tatizo la msingi kwetu wanaume. Tumekuwa washamba mno.
 
Umeeleweka mkuu!

Hata adam kama angemkatalia hawa kula tunda huenda tusingekuwa na mahangaiko yote haya.
 
Back
Top Bottom