*kushindana not kusindana...2nd amem copy nani?wazungu wanamsemo "watch and learn"...baada ya muda utaelewa nlimaanisha nnHuko kimataifa amefika ukingoni kwakuwa ameanza kuwacopy hao wa kimataifa.
Ukimcopy mtu utaweza kusindana naye kwenye soko moja?
Mbona nyinyi mnataka siasa zetu zinafanane na tuliowacopy mara ngapi humu mnataka demokrasia yetu iwe sawa na Marekani au ulayaHuko kimataifa amefika ukingoni kwakuwa ameanza kuwacopy hao wa kimataifa.
Ukimcopy mtu utaweza kusindana naye kwenye soko moja?
Mtoa mada ametoa maono yake ambayo ni mazuri tu na ni kama ushauri au angalizo tu ila unachotakiwa kujua ni kwamba hata mtu awe tajiri vp ana nafasi ya kufilisika na kufikia hatua ya kulala nje yani kubaki kumiliki nguo alizovaa tuHahaha
Amenikumbusha Lema alivoota Magufuli Mungu kamchukua.
Ni sawa na jamaa hapa, diamond ana weza kufilisika ndio lakini level ya Mr nice hiyo itakuwa balaa
Mkuu hiyo chance ni 1:100, 0000 kumtokea diamond, hadi aka lala nje kabisaMtoa mada ametoa maono yake ambayo ni mazuri tu na ni kama ushauri au angalizo tu ila unachotakiwa kujua ni kwamba hata mtu awe tajiri vp ana nafasi ya kufilisika na kufikia hatua ya kulala nje yani kubaki kumiliki nguo alizovaa tu
Hahaha
Amenikumbusha Lema alivoota Magufuli Mungu kamchukua.
Ni sawa na jamaa hapa, diamond ana weza kufilisika ndio lakini level ya Mr nice hiyo itakuwa balaa
Mnaongea nini nyie?Ukiwa na hela aliyonayo mond afu ukafa kibudu ka mr. Nice unahitaji maono na maombi ya lema! mengi ulosema ni sawa ila hiyo ya kusema ataanguka ka mr nice braza umepuyanga mbaya.
Unajua kaka kila binadam ana limit yake wanamchokonoa sana jamaa, ila akiwajibu yy ndo anaonekanaga mbaya why....wanasema mjusi ukimkimbiza sana hugeuka kuwa nyokaIngawa mwandishi dizain uko na kinyongo fln still umeongea point...
Kunakitu sijakipenda kwa diamond this few yrs toka internationally, amekosa ubunifu ktk utunzi na midundo au tones zenye kulink akili moyo na nafsi unaposikilza mziki wake.. anafanya vidio nzuri ila anaimba kwa idea zile zile ingawa kokoro iko somehe different lkn message ni ile ile"mapenzi"
Lkn pia diamond ache mambo ya kurushiana vijembe na wasanii wenzake ye apige kax aimbe mziki mzuri watu wataongea wenyewe na wasiomkubali watamkubar kwann kujibizana kwa "kizaramo" wakat ye mmanyemaa? Asipobadrka atabaki na hela but no music legacy
Unaongea nini wewe!!?Mnaongea nini nyie?
Mnamfahanu Whitney Hutson?
Alikuwa tajiri , huyo diamond zidisha mara 10000, lkn alikufa maskini
Wapo wengi tu,
Mr. Nice kafikia kupika gongo , wewe unaongea nnUnaongea nini wewe!!?
Alikuwa tajiri marekani , nao wana mifumo yao ya maisha, marekani kuna watu wanaitwa homeless, hapa bongo ukisha jenga nyumba umeula. Wao namna uchumi wao unavo endeshwa ni tofaut na sisi. Kwao ni rahisi kuwa tajiri wakati pia ni rahisi kufilisika.
Kwa namna yetu ya maisha ni kazi sana, hata huyo whutney houston hakufa akiwa ana 0 kabisa.
Hivi nyie mnavo kuongelea kufilisika kwa mr Nice mna kuchukulia poa ee!!?, Mr Nice alifilisika kweli kweli, it happens once in a hundred years hiyo ya Nice.
Diamond akifilisika hivo lazima tukampime akili.
Sija kuelewaMr. Nice kafikia kupika gongo , wewe unaongea nn
Tatizo wabongo wengi hamjui soko la kimataifa linataka nini ndo maana mtaishia kusema tungo zake amepunguza au amepungukiwa ubunifuIngawa mwandishi dizain uko na kinyongo fln still umeongea point...
Kunakitu sijakipenda kwa diamond this few yrs toka internationally, amekosa ubunifu ktk utunzi na midundo au tones zenye kulink akili moyo na nafsi unaposikilza mziki wake.. anafanya vidio nzuri ila anaimba kwa idea zile zile ingawa kokoro iko somehe different lkn message ni ile ile"mapenzi"
Lkn pia diamond ache mambo ya kurushiana vijembe na wasanii wenzake ye apige kax aimbe mziki mzuri watu wataongea wenyewe na wasiomkubali watamkubar kwann kujibizana kwa "kizaramo" wakat ye mmanyemaa? Asipobadrka atabaki na hela but no music legacy
Unajua idadi ya pesa aliokuwa nayo mkuu au ndio yaleyale ukisikia mdundo wa ngoma na ww lzm utingishe japo kalio moja tuUkiwa na hela aliyonayo mond afu ukafa kibudu ka mr. Nice unahitaji maono na maombi ya lema! mengi ulosema ni sawa ila hiyo ya kusema ataanguka ka mr nice braza umepuyanga mbaya.
Duh Shigongo mzigo wote nae mnanambia kafikia pua tyr....mbona shigongo kafilisika jamani?
Ulishawahi sikiliza mziki wa kinigeria? Ulishawahi mfatilia mr flavour? Na kama unamjua mr flavour je unahis yuko sawa na mond au nani yuko juu ya mwenzake kimuziki? Ukinijibu haya nitakuambia kituTatizo wabongo wengi hamjui soko la kimataifa linataka nini ndo maana mtaishia kusema tungo zake amepunguza au amepungukiwa ubunifu
Ukweli ni kwamba anachoimba diamond ndo kinachoitajika soko la africa.
Nyimbo kama
Nana
Kidogo
Zigo remix
Make me sing
Ndio zinazompa show africa kuanzia nigeria, malawi, zimbambwe, zambia, botwana na kwengine duniani
Ndio nyimbo zinazompa tuzo kimataifa
Hivi unadhani mtu wa zambia au nigeria ataangalia mistari yako ya kiswahili inaujumbe gani?
Hivi mnajua kwanini nyimbo za navy kenzo zinafanya vizuri zaidi nje ya nchi?
Game na kamatia chini , hizi nyimbo zimekaa kwenye mfumo wa dancehall na hazina ujumbe wowote mzito lakini zinawapa heshima navy kenzo afric nzima
Ndo maana inabidi nicheke tu wanaosema kuna anguko la diamond
Ww jamaa nishakusoma ww ni hater na always hater hana sababu yy ni ku hate tuUlishawahi sikiliza mziki wa kinigeria? Ulishawahi mfatilia mr flavour? Na kama unamjua mr flavour je unahis yuko sawa na mond au nani yuko juu ya mwenzake kimuziki? Ukinijibu haya nitakuambia kitu
Hahahahahahaha i think Am too logical thuy y umeshindwa kunielewa, tukiza akili jibu maswal yangu then i will tell u something. ..[emoji23][emoji23]Ww jamaa nishakusoma ww ni hater na always hater hana sababu yy ni ku hate tu