Anguko la Diamond ni sawa na "Mr nice"

Copy
Paste
 
Mkuu bora umeliona hilo. Hao wanaojiita team yake ndo wanaozidi kumdanganya. Nyimbo mbovu Sana tu.
 
tatizo ukiwapa ushauri wanakuita hater....maana huyu jamaa siku hizi upande wa pili wakitoa wimbo na yeye katoa.

Yaani ame-panic kweli kweli sijui mwisho itakuaje
 
Nasikia Mr Nice ndo mchaga mzembe zaidi kuwahi tokea duniani,je ni kweli?

Diamond kuanguka sio leo na kamwe usimfananishe na Mr Nice aliyekuwa anaimbia watoto kuku kapanda baiskeli.
 
Waelekeze jinsi ya kulima maharagwe, karanga, njegere ili waweze kupunguza vitambi. Si kula nyama na samaki kunasaidia. kwetu hatuli nyama na samaki ila hivyo vitu vimefanya watoto wasiwe na hiyo hali.
Asante kwa ushauri mkuu.
Nitajitahidi[emoji1]
 
Ukiwashauri wanakuita team kiba wengine hatunaga team tunapenda mziki mzuri tu haijalishi kaimba nani.
Kweli,mimi nasikiliza nyimbo yeyote nzuri kutoka kwa msanii yeyote,ndiyo maana mtu anapokosea inabidi ashauriwe,sasa kama unavyosema hawa ndugu zetu wao wanapokea tu hata kama kitu ni low quality.[emoji23]
 
Kweli,mimi nasikiliza nyimbo yeyote nzuri kutoka kwa msanii yeyote,ndiyo maana mtu anapokosea inabidi ashauriwe,sasa kama unavyosema hawa ndugu zetu wao wanapokea tu hata kama kitu ni low quality.[emoji23]
Hawakubaliii hata Kama ni mbovu watasifia tu.
 
KUSEMA UKWEEEELI KABISA ULE WA ROHONI!
huuu wimbo NASEEB KANIANGUSHA!
NA HIYO VIDEO NDO KABISAAA!
ah mi hata sijamwelewa !af meumia kweli yani! basi tu!napewa misuto huko wanakonijua mi ni die hard fan hadi aibu!masingi kibao!
sa ntafanyaje!
 
Kuanguka kwa Mondi kwa kipindi hiki sahau kabisa kijana, ww kama unaona kuna nyimbo huzipendi jua wenzako zipo kwenye playlist zao, so chill kijana punguza jazba acha mziki wetu ausogeze mbele
 
Kama unadhani Diamond atashuka kiuchumi kama Mr. Nice basi wewe utakuwa ni mchawi lkn kama ni kushuka kimuziki hiyo sitoshangaa kwani ukifika juu kitakachofuata ni kushuka tu. Kitu muhimu ni kwamba amesaidia kuusogeza mziki wetu hatua kadhaa mbele hivyo ni jukumu la msanii mwingine kuendelea kuusogeza kutoka pale atakapoishia Diamond.
 
Muziki mzuri ni kipato tu vinginevyo koffi angekua baunsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…