Anguko la Diamond ni sawa na "Mr nice"

Kufulia kupo, hakuna msanii atakaedumu kwenye game milele! Atapotea tu kupisha nafasi ya wengine! Walikuepo Akina 50 cent, Eminem, defao, mbilia bell, Leo hii tuna Akina fally ipupa, ferre gola, nk
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] hali ya hewa inaruhusu bana naogopa kubebwa na mafuriko
heheheheh enjoy mwaya...ila boat yetu bado inapiga mzigo fresh nyakati hzi tu so worry out...
 

Mansonic sign zao hata ney kuna video alionyesha hayo mambo kuwasoma ni kazi kama mnawaza hawa jamaa kushuka kimziki sio leo labda wakiuke masharti na moja ya mambo yao ni pamoja na kuliwa mzigo pitia pitia 2pac alipo wakatalia kuliwa tgo waka mdedisha(ingia you tube utaona mambo mengi)
 
Kwani akianguka wewe inakuuma Nini? Kwanini usingekomaa na maisha yako ya kila siku ya kutafutia chakula watoto wako. Watanzania wengine ni wa ajabu sana.
 
Diamond ni mswahili alafu kalewa sifa kuimba alikuwa anajua zamani ila kwa sasa ndumba na team ushuzi ndio zinampa promo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

No comment!!
Nikijibu hapa nitaandika bonge la gazeti mpaka watu watakereka hahahahaha

Hizi ni 'Kokoro' [emoji6]
Ungeandika tu...mlengwa ni mimi na ningesoma,hao wengine wakereke kwani wamelazimishwa kusoma?

Hiyo kokoro naisikia tu...maybe nitautafuta sababu ya Rich Mavoko.
Namkubaligi jamaa design [emoji6],hajawahi kutoa boko.
Hii sijui itakuwaje...
 
Ungeandika tu...mlengwa ni mimi na ningesoma,hao wengine wakereke kwani wamelazimishwa kusoma?

Hiyo kokoro naisikia tu...maybe nitautafuta sababu ya Rich Mavoko.
Namkubaligi jamaa design [emoji6],hajawahi kutoa boko.
Hii sijui itakuwaje...
Subiri nitaandika bonge la gazeti hapa hahahah!!

Hata chibu najua unamkubali kimya kimya.. [emoji23]
 
Subiri nitaandika bonge la gazeti hapa hahahah!!

Hata chibu najua unamkubali kimya kimya.. [emoji23]
Yeye binafsi simkubali...ila zipo baadhi ya nyimbo zake nazipenda hasa za zamani.
Ipo siku nitakuambia ni nyimbo zipi [emoji6]
 
Mkuu maharage ya wapi umekula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…