Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! Let me guess moja ya hizo nyimbo....... 'Chanda chema' [emoji12]Yeye binafsi simkubali...ila zipo baadhi ya nyimbo zake nazipenda hasa za zamani.
Ipo siku nitakuambia ni nyimbo zipi [emoji6]
Ya mbeyaMkuu maharage ya wapi umekula
Ni kweli, ni bora kuwasapot wasanii wetu wote kwa kutoa ushauri na kupokea kazi zao kuliko kuwaponda na kuwaombea kushuka kimziki.Diamondi haja anguka
Wimbo na Ne-Yo kwa kweli haukuwa kama ulivodhaniwa utakuwa
Wimbo na Rich Mavoko mimi naona ni mzuri.
Haja anguka, mtu anaye toa nyimbo 5-6 kwa mwaka lazima zisizo kupendeza ziwepo.
Halafu kwa Diamond kuwa kama Mr Nice, hilo ni dua la kuku tu halimpati mwewe asee.
CoolNi kweli, ni bora kuwasapot wasanii wetu wote kwa kutoa ushauri na kupokea kazi zao kuliko kuwaponda na kuwaombea kushuka kimziki.
*Atakaposhuka diamond basi kuna wasanii na watu wengi nyuma yake pia hawataweza kufikia ndoto zao.
Damnit!How could you figure out this?Hahaha! Let me guess moja ya hizo nyimbo....... 'Chanda chema' [emoji12]
I think Lil Whyne na crew yake huwa hawaangalii huu uchafu,but kama ingetokea wakaona basi fidia atakayodaiwa atauza kuanzia Madale mpaka Mbagala kule alikoanzia ili amlipe na still isingetosha ingebidi atafute na wa kuacha bond sijui angemweka tifa au zarina?
Hahahaha,acha kumtisha mwenzioI think Lil Whyne na crew yake huwa hawaangalii huu uchafu,but kama ingetokea wakaona basi fidia atakayodaiwa atauza kuanzia Madale mpaka Mbagala kule alikoanzia ili amlipe na still isingetosha ingebidi atafute na wa kuacha bond sijui angemweka tifa au zarina?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Damnit!How could you figure out this?
Hadi nimeogopaaaa![emoji15] [emoji87]
Wallah nilitaka kusema Nenda Kamwambie,Chanda chema and xo xo.
Umetisha [emoji119]
Ninyi wenye roho nzuri toeni basi hata kimsaada tuwaone, MAJUNGUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU Tigo mnzouza haziwalipi?![]()
Kama msanii mkubwa jabisa Africa nafikiri alichokiandika hapa anazidi kuonekana hana maana.
Mbona mapovu kibaoNinyi wenye roho nzuri toeni basi hata kimsaada tuwaone, MAJUNGUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU Tigo mnzouza haziwalipi?
Hakuna amuombeaye mabaya ,ungekuwa anamfahamu MC HUMMER sijui kama ungeandika ulichoandika.Ukiwa na hela aliyonayo mond afu ukafa kibudu ka mr. Nice unahitaji maono na maombi ya lema! mengi ulosema ni sawa ila hiyo ya kusema ataanguka ka mr nice braza umepuyanga mbaya.
mkuu hii signature yako ina maneno ya wimbo nlokua naupenda sana enzi hizo shule ya diniukisema ukweli watakuita team kiba as if tz kuna sheria ukimpenda diamond huwezi kumpenda ally kiba
nyimbo mbaya sana mkuu kijana ajipange upya na kuhusu sallam ni kweli abaki tu kutafuta show amuache mswahili wetu wa tangu kale babu tale
You wishYa Mungu mengi..labda kwelii! Kwani ni nani alijua Trump atashinda uchaguziii [emoji6][emoji6][emoji3]
Yeye ni binadamu kama wengine tu na kupanda na kushuka ndo maisha yenyewe hayo ..ye ni nani kwamba atakua juu tu kila siku!? Ipo siku na yeye anaweza akawa kama Mr. Nice tu...sio ajabu hata! Ndo maishaaa