Anguko la Diamond ni sawa na "Mr nice"

Anguko la Diamond ni sawa na "Mr nice"

Diamondi haja anguka

Wimbo na Ne-Yo kwa kweli haukuwa kama ulivodhaniwa utakuwa

Wimbo na Rich Mavoko mimi naona ni mzuri.

Haja anguka, mtu anaye toa nyimbo 5-6 kwa mwaka lazima zisizo kupendeza ziwepo.

Halafu kwa Diamond kuwa kama Mr Nice, hilo ni dua la kuku tu halimpati mwewe asee.
Binamu wiki hii yenu naona siku hizi unakuwa mpole hahaaa [emoji13] [emoji13] hamia mziki mzuri update vitu adimu
 
Ukiwa na hela aliyonayo mond afu ukafa kibudu ka mr. Nice unahitaji maono na maombi ya lema! mengi ulosema ni sawa ila hiyo ya kusema ataanguka ka mr nice braza umepuyanga mbaya.
Kumbuka Mr nice alikuw diamond wa sasa
 
Hahaha
Amenikumbusha Lema alivoota Magufuli Mungu kamchukua.

Ni sawa na jamaa hapa, diamond ana weza kufilisika ndio lakini level ya Mr nice hiyo itakuwa balaa
Anything can happen binamu , hakuna lisilowezekana kwa mungu ndo mana hiyo kauli alioitoa iliwachukiza wengi kwasababu haipendezi mbele za mungu , coz kama amekupa yeye anaweza akakunuang'anya anytime , otherwise kapewa na shetani
 
Habari zenu wakuu.

Kwa jinsi upepo unavyovuma sina budi kusema kwamba huyu kijanaa mwenzetu kutoka tandale anaelekea kuanguakia pua kama ilivyotokea kwa msanii mwenzake Mr nice( Lucas mkenda),sababu kubwa itakayofanya huyu kijana wetu aanguke mshindo mkubwa ni kulewa sifa kiasi kwamba anatumia umaarufu wake kutoa nyimbo ambazo hazina viwango.

Kitu kingine ni kwamba inaonekana huyu bwana mdogo anatumia nguvu na ukubwa wa timu yake kusambaza nyimbo ambazo ziko chini ya kiwango kitu ambacho ni makosa makubwa kwasababu sisi ambao hatuna timu au hatuko kwenye timu yake ni rahisi sana kuona ubovu wa nyimbo zake kwasababu tunatumia akili zetu kuchambua tofauti na members wa timu yake ambao hutumia mihemko.

Kitu kingine anachofanya huyu kijana ambacho sio kizuri ni kutumia nguvu kubwa kwenye video ili kuficha ubovu wa audio kitu ambacho kwa upande mwingine kinapelekea kuwanyima haki ya kusikiliza mziki mzuri wale wasiotizama video zake.

Mwisho.
Diamond alikuja vizuri sana lakini huko anakoenda kuna giza nene lisiloelezeka, kwani kwa hizi nyimbo zake mbili mpya za yeye na Neyo na rich mavoko zinaashiria kwamba graph yake inashuka kwa kasi.

Namshauri aangalie sana management aliyonayo kwa sasa maana naona huyu "Salam" anafanya umbeya zaidi kuliko kazi anazotakiwa kufanya,pia ikiwezekana siku moja moja afanye nyimbo zake kwenye studio nyingine siyo kila siku "WASAFI RECORD"maana naamini hawawezi kujua kila kitu,pia aache kufanya vitu kwa mazoeya.
Fuata yako, hapa TZ kuna studio nyingi sana, hebu ingia studio na wewe utupe nyimbo zako shwaini
 
Hakuna cheny mwanzo kikakosa mwsho,lazma ifike muda uwape kijit wenzio nao waendeshe hayo magari
 
Hakuna cha utabiri kutimia wala mtu kufulia, usipopenda kusikiliza nyimbo zake acha, sasa hivi fan base yake ni kubwa mtaishia kupiga kelele tuu

Tangu bongo flavour ianze hit song zilizopendwa na kila mtu ni chache sana

Naomba mtu aingie you tube aangalie wimbo unaoitwa turn down for what, unaviwers wangapi na wimbo uko je kisha umuache diamond afanye ajuavyo yeye sio ujuavyo wewe

Fikiria kuboresha maisha yako na sio kufikiria wenzako watafulia lini waka hata hauko sawa nao
 
Kuanguka inawezekana ila sio kama mr.Nice,na diamond anaweza kuanguka kimuziki lakini kwa uchumi bado sijafikiri hilo,maana anazo akili za kiwekeza nje ya muziki.
 
Habari zenu wakuu.

Kwa jinsi upepo unavyovuma sina budi kusema kwamba huyu kijanaa mwenzetu kutoka tandale anaelekea kuanguakia pua kama ilivyotokea kwa msanii mwenzake Mr nice( Lucas mkenda),sababu kubwa itakayofanya huyu kijana wetu aanguke mshindo mkubwa ni kulewa sifa kiasi kwamba anatumia umaarufu wake kutoa nyimbo ambazo hazina viwango.

Kitu kingine ni kwamba inaonekana huyu bwana mdogo anatumia nguvu na ukubwa wa timu yake kusambaza nyimbo ambazo ziko chini ya kiwango kitu ambacho ni makosa makubwa kwasababu sisi ambao hatuna timu au hatuko kwenye timu yake ni rahisi sana kuona ubovu wa nyimbo zake kwasababu tunatumia akili zetu kuchambua tofauti na members wa timu yake ambao hutumia mihemko.

Kitu kingine anachofanya huyu kijana ambacho sio kizuri ni kutumia nguvu kubwa kwenye video ili kuficha ubovu wa audio kitu ambacho kwa upande mwingine kinapelekea kuwanyima haki ya kusikiliza mziki mzuri wale wasiotizama video zake.

Mwisho.
Diamond alikuja vizuri sana lakini huko anakoenda kuna giza nene lisiloelezeka, kwani kwa hizi nyimbo zake mbili mpya za yeye na Neyo na rich mavoko zinaashiria kwamba graph yake inashuka kwa kasi.

Namshauri aangalie sana management aliyonayo kwa sasa maana naona huyu "Salam" anafanya umbeya zaidi kuliko kazi anazotakiwa kufanya,pia ikiwezekana siku moja moja afanye nyimbo zake kwenye studio nyingine siyo kila siku "WASAFI RECORD"maana naamini hawawezi kujua kila kitu,pia aache kufanya vitu kwa mazoeya.
Yupo kwenye gemu toka 2008! Leo hii anakuza vipaji vingine!
 
Hahaha
Amenikumbusha Lema alivoota Magufuli Mungu kamchukua.

Ni sawa na jamaa hapa, diamond ana weza kufilisika ndio lakini level ya Mr nice hiyo itakuwa balaa
alifilisika Michael Jackson, Mike Tyson aje kua diamond?(ingawa simuombei aflisike). mkuu huijui dunia nyamaza!
 
alifilisika Michael Jackson, Mike Tyson aje kua diamond?(ingawa simuombei aflisike). mkuu huijui dunia nyamaza!
USA nikikutajia watu walo filisika hapa ni wengii utashangaa. ni kwa sbab ya aina ya maisha ya kule na taratib za kule.
nimepiga mahesabu ya kibongo bongo hapo
haji filisika mark my word
 
USA nikikutajia watu walo filisika hapa ni wengii utashangaa. ni kwa sbab ya aina ya maisha ya kule na taratib za kule.
nimepiga mahesabu ya kibongo bongo hapo
haji filisika mark my word
sisi ni masikini, kuna msemo unasema masikini hafilisiki,
 
Habari zenu wakuu.

Kwa jinsi upepo unavyovuma sina budi kusema kwamba huyu kijanaa mwenzetu kutoka

Namshauri aangalie sana management aliyonayo kwa sasa maana naona huyu "Salam" anafanya umbeya zaidi kuliko kazi anazotakiwa kufanya,pia ikiwezekana siku moja moja afanye nyimbo zake kwenye studio nyingine siyo kila siku "WASAFI RECORD"maana naamini hawawezi kujua kila kitu,pia aache kufanya vitu kwa mazoeya.

Watanzania wakati mwingine tu watu wa ajabu sana!!! Mkuu kwani tatizo liko wapi? Anzisha bendi ya kwamko halafu tuje tukutembelee baada ya nusu mwaka tuone umefikia wapi kimaendeleo, utatoaje ushauri wakati wewe umiliki hata record label moja au Studio - we si unamuona mwenzako si mbunifu - mara sijui jamaa kalewa sifa, basi tu maneno chungu mzima ya kujaribu kumkatisha tamaa Mtanzania mwenzako badala ya kumtia moyo, Waingereza wana msemo - it goes "Husipo kuwa na jambo jema la kuzungumza kuhusu binadamu mwenzako ni bora/kheri ukakaa kimya" hiyo ndiyo Tanzania tunayo itaka sisi siyo mnaleta mambo yanayo fanana fanana na mipasho kwenye tungo za taarabu - kwani Nasib kakukwaza nini katika maisha yako.
 
Watanzania wakati mwingine tu watu wa ajabu sana!!! Mkuu kwani tatizo liko wapi? Anzisha bendi ya kwamko halafu tuje tukutembelee baada ya nusu mwaka tuone umefikia wapi kimaendeleo - we si unamuona mwenzako si mbunifu - mara sijui jamaa kalewa sifa, basi tu maneno chungu mzima ya kujaribu kumkatisha Mtanzania mwenzako badala ya kumtia moyo, Waingereza wana msemo: "Husipo kuwa na jambo jema la kuzungumza kuhusu binadamu mwenzako ni bora/kheri ukakaa kimya" hiyo ndiyo Tanzania tunayo itaka sisi siyo mnaleta mambo yanayo fanana na mipasho ya taarabu - Nasib kakukwaza nini katika maisha yako.

Si unajua tena roho zetu za korosho?
 
Kaoge baada ya kupona kakimbilia kuanzisha uzi. Any way, haki zenu bado sana ndani ya nchi hii.
 
Back
Top Bottom