Anguko la elimu Tanzania

Anguko la elimu Tanzania

maswimanga

Senior Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
159
Reaction score
26
Hebu tuache tofauti zetu tujiulize maswaili yafuatayo:
.je ni kushuka kwa maadili ya jamii nzima?
.Je ni mitaala yetu isiyokua na dira?
.je ni sera ya elimu kuwa mbovu?
.je ni ni wataalamu kutokuwa na ubunifu?.
.je ni mazingira ya utumishi kutoruhusu ubunifu?.
.je maslahi ya watumishi hawa yako sahihi?.
.je serikali inafanya tafiti juu ya mabolesho ya elimu?
..
 
serikali imetelekeza elimu,haina mpango na elimu,imejaa watu wa dili za ajabu ajabu tu,wez wez tu!serikali ombaomba hii haina inaloweza zaidi ya kuzuia maandamano ya chadema bila kujiuliza kwa nn watu wanaandamana
 
Umenena mkuu, hii tabia ya kila kitu kibaya kusingiziwa CHADEMA imetufikisha hapa tulipo. Elimu imepolomoka sana.
 
Back
Top Bottom