Anguko la Millard Ayo liko karibu sana

Anguko la Millard Ayo liko karibu sana

Mtaji mkubwa wa hawa kina Ayo na Bloggers wengi Uchwara wa hapa Bongo ni uwepo wa wajinga wengi..
Niliwahi kusoma mahali Millard huyu alizawadiwa kimataifa kwa SBB alikuwa na viewers wengi internationally,nilishangaa mpaka Iran alikuwa nao wengi tu.sasa nashindwa kuelewa mjinga in yupi!!!
 
Ujaelewa mzeebaba
Matangazo n usibitisho kuwa habar zake n sensitive that's why watu wanamtumi a kimatangazo
Binafs namsaluti sana dogo
A na weredii Wa kaZi
usibitisho=uthibitisho
 
Ana tamaa san. Nimefuatilia kisa cha kuweka matangazo analipwa hela ndefu na wenye matangazo kurusha kweny blog yake. Na hizo video anapata hela nying kutoka mtandao unaotumia kufungua blog yake kama mteja wa tigo au Voda au airtel. Dogo anatamaa san kutumalizia bando. Hasipojirekebisha tususie bidhaa yake yaan blog yake akitukosa akala hasara atajirekebisha na hizo biased news
 
Nyumbu tatizo lenu mnataka kila MTU awe anawasifu, kuwatetea, na kuiponda serikali kwenye blogs zao,
Kuna wengine walikuja humu wakiituhumu ITV eti inaegemea serikali na CCM kuliko upinzani.

Eleweni kuwa hawa ni wafanyabiashara, wanaangalia mwelekeo wa Huduma na biashara zao ili wapate faida na sio kufurahisha genge Fulani huku wakikumbana na hasara na misukosuko isiyo ya lazima.
Enyi wapinzani fungueni Radio station zenu, blog zenu, na television zenu, mstegemee blog na TV za watu kuwatetea.
 
Mi kwa taarifa nilizonzazo jamaa anataka kufungua kampuni yake rasmi ya media but sijajua kafikia wapi..
 
Binafsi nilikuwa mpenzi mno wa hii blog, lakini toka mwaka Jana mwanzoni mpenzi yangu yalitoweka kabisa.

Kuna sababu kadhaa zilizopelekea kuichukia hii blog ambazo ni Pamoja na:

Habari zake Karibu zote amekuwa akiweka video badala ya kuandika hali inayopelekea bundle kuisha haraka sana

Pia Millard Ayo licha ya kutuwekea Video katika almost Kila habari anayoposti, robo ya hiyo Habari unakuta na video ya Tangazo la biashara ambalo ni video pia

Achilia mbali hilo hata Habari anazopost nyingi ni za Abunuasi yaani kufikirika kwa maisha ya mtanzania wa kawaida hazina msaada mathalani NYUMBANI ghari duniani - Simu ya Gharama zaidi na mengine mfano wa haya
Mkuu sijui wewe unaelewaje maana ya kuanguka.Mimi nadhani kuanguka kuna maana mbili, kuanguka kiroho na kimwili.Anguko la kiroho huwa ndilo linalotangulia anguko la kimwili.Millard hakuwa hai kiroho,infact naweza kusema kwamba alikuwa anamtumtumikia Lucifer kwa namna moja au nyingine.For that reason anguko la kimwili was just a a few centimeters away, labda kama anatumia nguvu za giza au anawezeshwa na Shetani,Freemasons kwa mfano, kama ilivyo kwa watu wengi wa siku za leo.
 
Asbh kumekucha mto pawaga umejaa maji na samaki ni wa kumwaga, ulanzi unagemwa kwa wingi, wengine wameenda kuwinda digidigi, kanga, sungura nk(huu utakuwa mlo wa mchana)..Njooni pawaga jaman

>>ukiwa masikini kama mimi unadhauliwa hadi na watoto na ukiwa na uwezo utachukiwa kila kona....

Huyu kijana anapigwa vita sana na hii yote ni kutokana na mafanikio aliyopata nadhani.

NB: Njoo pawaga upate nyenzo ya kujikwamua na umasikini, hao wenye uwezo hata wakifilisika wewe bado utabaki na umasikini wako
Yaaan kilichoandikwa na ulichoandikaa ni jinsiaa mbili tofauti jifunze kucomment kutokana na mada husikaaa.....kama ww ni mtazamaji wa milaard ayo utaelewaaa alichosema mwenzio
 
Huyu jamaa ameshaharbu
kabsa hyo blog yake
Zaman alikua anaweka habar
Za maana Ila Kwa sasa hakuna


Ktu cjui nan kamloga kijana huyu
Hbr za skuhiz n ubunuaz+ubunuaz
Yan hazna kichwa wala mguu
N udaku udaku tu kama geah habibu
Anaweka skuhiz mm blog n moja


Tu nayo tembelea bongo5 pekeake
Na zaman Ayo ndo ilikua blog
Pendwa lon Kwa sasa nakaa hata miez
Cjaigusa


Vjana achanen na ccm kuna
Uzee
 
Binafsi nilikuwa mpenzi mno wa hii blog, lakini toka mwaka Jana mwanzoni mpenzi yangu yalitoweka kabisa.

Kuna sababu kadhaa zilizopelekea kuichukia hii blog ambazo ni Pamoja na:

Habari zake Karibu zote amekuwa akiweka video badala ya kuandika hali inayopelekea bundle kuisha haraka sana

Pia Millard Ayo licha ya kutuwekea Video katika almost Kila habari anayoposti, robo ya hiyo Habari unakuta na video ya Tangazo la biashara ambalo ni video pia

Achilia mbali hilo hata Habari anazopost nyingi ni za Abunuasi yaani kufikirika kwa maisha ya mtanzania wa kawaida hazina msaada mathalani NYUMBANI ghari duniani - Simu ya Gharama zaidi na mengine mfano wa haya
Uhalisia wa kitu au jambo fulani kwa njia ya video huwa haina utata kulinganisha na kama ilivyo humu JF.
Kuhusu matangazo sidhani kama ni kigezo zaidi ya kumuoneawivu, hakuna habari duniani isiyokuwa na tangazo.
You tube kuna add za kufa mtu -
Ungemshauli hizo add ziwe na options ya kiziskip.
 
vyuma vimekaza mpk hela ya kuangalia video hatuna dadeki!
 
Zamani wengi walikuwa wanatembelea blog yake kupata habari ilikuwa simple habari zinejipanga chronologically baadae akaongeza mbwembwe nyingi na ma video mengi sana.

Ukitembelea blog hujui habari latest ni ipi unakuta video ya miezi ndio ipo mwanzo halafu haina mpangilio....kwa ushauri tu ajitahidi kupunguza videos au aziweke zaidi kwenye youtube channel yake abakize blog kwaajili ya habari na picha video ziwe pale tu zinapokuwa muhimu.

Ukweli wengi sana wameacha kutembelea website sababu hizo, mbali na hilo anafanya vizuri anastahili pongezi [HASHTAG]#maoni[/HASHTAG].
 
Mpe ushauri sababu hata akipata hilo anguko wewe hutofaidi kiti

HekimaZa Mamaa Africa
 
Anayemfuatilia huyo jamaa namuona atakua kwenye umri wa kubalehe nadhani
 
Back
Top Bottom