Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
Niliwahi kusoma mahali Millard huyu alizawadiwa kimataifa kwa SBB alikuwa na viewers wengi internationally,nilishangaa mpaka Iran alikuwa nao wengi tu.sasa nashindwa kuelewa mjinga in yupi!!!Mtaji mkubwa wa hawa kina Ayo na Bloggers wengi Uchwara wa hapa Bongo ni uwepo wa wajinga wengi..
usibitisho=uthibitishoUjaelewa mzeebaba
Matangazo n usibitisho kuwa habar zake n sensitive that's why watu wanamtumi a kimatangazo
Binafs namsaluti sana dogo
A na weredii Wa kaZi
Binafsi simjui hata suraHuyu Dogo sijawahi kumfuatilia na sijawahi kuona umuhimu Wa kumfuatilia.
Nasikiaga tu Blog yake.
Unamkumbuka msanii Malow?Millard Ayo usiogope chama kitakutunza sana
Wacha wakuseme ila kisimamie chama
Mkuu sijui wewe unaelewaje maana ya kuanguka.Mimi nadhani kuanguka kuna maana mbili, kuanguka kiroho na kimwili.Anguko la kiroho huwa ndilo linalotangulia anguko la kimwili.Millard hakuwa hai kiroho,infact naweza kusema kwamba alikuwa anamtumtumikia Lucifer kwa namna moja au nyingine.For that reason anguko la kimwili was just a a few centimeters away, labda kama anatumia nguvu za giza au anawezeshwa na Shetani,Freemasons kwa mfano, kama ilivyo kwa watu wengi wa siku za leo.Binafsi nilikuwa mpenzi mno wa hii blog, lakini toka mwaka Jana mwanzoni mpenzi yangu yalitoweka kabisa.
Kuna sababu kadhaa zilizopelekea kuichukia hii blog ambazo ni Pamoja na:
Habari zake Karibu zote amekuwa akiweka video badala ya kuandika hali inayopelekea bundle kuisha haraka sana
Pia Millard Ayo licha ya kutuwekea Video katika almost Kila habari anayoposti, robo ya hiyo Habari unakuta na video ya Tangazo la biashara ambalo ni video pia
Achilia mbali hilo hata Habari anazopost nyingi ni za Abunuasi yaani kufikirika kwa maisha ya mtanzania wa kawaida hazina msaada mathalani NYUMBANI ghari duniani - Simu ya Gharama zaidi na mengine mfano wa haya
Yaaan kilichoandikwa na ulichoandikaa ni jinsiaa mbili tofauti jifunze kucomment kutokana na mada husikaaa.....kama ww ni mtazamaji wa milaard ayo utaelewaaa alichosema mwenzioAsbh kumekucha mto pawaga umejaa maji na samaki ni wa kumwaga, ulanzi unagemwa kwa wingi, wengine wameenda kuwinda digidigi, kanga, sungura nk(huu utakuwa mlo wa mchana)..Njooni pawaga jaman
>>ukiwa masikini kama mimi unadhauliwa hadi na watoto na ukiwa na uwezo utachukiwa kila kona....
Huyu kijana anapigwa vita sana na hii yote ni kutokana na mafanikio aliyopata nadhani.
NB: Njoo pawaga upate nyenzo ya kujikwamua na umasikini, hao wenye uwezo hata wakifilisika wewe bado utabaki na umasikini wako
Bora umkubusheUnamkumbuka msanii Malow?
Uhalisia wa kitu au jambo fulani kwa njia ya video huwa haina utata kulinganisha na kama ilivyo humu JF.Binafsi nilikuwa mpenzi mno wa hii blog, lakini toka mwaka Jana mwanzoni mpenzi yangu yalitoweka kabisa.