Anguko la Nyani Ngabu

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kwa miaka kadhaa ndugu Nyani Ngabu au( a boy from USA [emoji631] ) kama anavyojiita mwenyewe amekuwa ni mtu maarufu humu jukwaani haswa kwa mbwembwe zake za kuongea kiingereza cha ndani zaidi kiasi kwamba kama kiingereza chako ni cha kuunga unga huwezi kumuelewa kamwe vitu anavyoviandika .

Kwa miaka hiyo kama mtu ukizungumzia kuhusu JF ilikuwa si rahisi kutomjua huyu mtu ila kadri siku zinavyozidi kwenda umaarufu wake unazidi kufifia kama moto wa nyasi .

Ngabu alikuwa anaongoza kwa messages nyingi humu jukwaani lakini kwa sasa ameshapinduliwa tayali na ameachwa mbali sana

Pia kwa upande wa likes ameachwa mbali saaana ,kwenye upande wa likes yeye ni mtu wa 18 na muda sio mrefu atatupwa kwenye wale watu 20 wanaoongoza kwa kuwa na likes nyingi

Namba moja inashikiliwa na Bitoz akifuatiwa na Jimenna ,Shunie ,Mussolin5 na Quigley






Ni kazi kubwa sana waliyofanya hawa makapuku kufagia fagia kwa kweli ,maana ukiangalia wana messages chache ila likes nyingi sana


Bila shaka baada ya miezi kama sita mpaka miaka miwili na nusu umaarufu wa Ngabu utakuwa ni wakaida sana kama 10% tu basi hasa kwa wale wageni ndio hawatamjua kabisaa .

Bye bye Nyani Ngabu wakati wako umeshaisha tayali.
 
Hahahaaaa

The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.

Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.

Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!

Happy weekend.
American boy wata bado wanakungumzia. Hapo umemaliza wamekuelewa ndio maana bado upo kwenye fikra zao. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hahahaaaa

The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.

Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.

Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!

Happy weekend.
Wala sijakuwaza ila leo nimeingia Jf kupitia browser ndio nikaona hayo mabadiliko .

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wala sijakuwaza ila leo nimeingia Jf kupitia browser ndio nikaona hayo mabadiliko .

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa mbona hao uliowataja sijamuona Platinum Member zaidi ya huyo USA baby? Au unadhani Platinum member anakuwa awarded kwa kupiga porojo tu humu?

U are in love with Nyani Ngabu.
 
nini maana ya trophy point. max ni 280 uwe na like elfu 97 au mia 5.
msaada tafadhali
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…