Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Raven nakusalimiaMtu kuwa JF since 2006 na bado yupo active ni respect.
JF kuna huyo jamaa ruta. Haha ni nooma kwenye post. Nahisi anapost kila dk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raven nakusalimiaMtu kuwa JF since 2006 na bado yupo active ni respect.
JF kuna huyo jamaa ruta. Haha ni nooma kwenye post. Nahisi anapost kila dk.
Umaarufu wake unazidi kufifia kila kukichaNyaniNgabu wakawaida sana..bora bibi yetu Faiza
Nahisi ndo Dan Coper ila uzungu wote hamna siku hizi. Sijui kauza idHuyu paulo kaenda wapi siku hizi? Long time sijamuona
Ngoja nikupe likes mkuu lakini najua soon utakula red card ya Trump na utarudi nyumbanHahahaaaa
The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.
Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.
Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!
Happy weekend.
Marahaba Raven.Raven nakusalimia
unakaribia kumfunika kwa umaarufu.Mtu kuwa JF since 2006 na bado yupo active ni respect.
JF kuna huyo jamaa ruta. Haha ni nooma kwenye post. Nahisi anapost kila dk.
Ngoja nikurushie picha yake mubasharaKumbe Nyani Ngabu ni 27? Mi nilidhanigi ni mzee mmoja zaidi ya miaka 50 huko
May be. English yake ilikuwa matata.Nahisi ndo Dan Coper ila uzungu wote hamna siku hizi. Sijui kauza id
Nyani Ngabu umaarufu siwezi kumzidi labda niingie mpaka majukwaa ya siasa.unakaribia kumfunika kwa umaarufu.
Huku naruhusiwa kukusalimia???Mtu kuwa JF since 2006 na bado yupo active ni respect.
JF kuna huyo jamaa ruta. Haha ni nooma kwenye post. Nahisi anapost kila dk.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mijadala ya Ijumaa utaijua tu.
Huku tunasalimiana. Vipi upo.Huku naruhusiwa kukusalimia???
Ban nasikia ziko nyuma ya kila post....
We ndo najua uko maarufu bhana, achana na malikes yao....
Nipo, sema ubusy ndo mwingi...Huku tunasalimiana. Vipi upo.
Likes mwenyewe unazakutosha elfu 20 na kitu. Hongera
Ban hakuna bwana.Nipo, sema ubusy ndo mwingi...
Siku hizi salam tuu ban, naogopa ujue..
Ila Shkamo shem...
Hahaaa, wee hongera kwa lipi.. Punguza zereu bhana
Teh teh tehBan hakuna bwana.
Sio zerau. Wewe maarufu pia eti. Ujue kila mtu anaumaarufu wake haha. Sasa mtu unalikes 27 wewe si maarufu means unapewa likes saana.
Nipe basi na mimi like hapo juu
Haha..hivi shem kwa hiyo ndiyo umeamua kunitania eeh!Teh teh teh
Yaani raha kweli kuwa na mtu maarufu ka wewe bhana ni kama vile nachat na Obama...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana ni kijana mdogo tu huyo.